Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo

Je msanifu wa cathedral atakuwa amefanya yule padri Rimisho msanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi.

 
Gothic architecture jipange.
Waliweza makanisa ya zamani sababu pesa zilitoka ulaya plus gharama za ujenzi zilikuwa chini.
Kama unajenga haya majengo ya kawaida tu gharama Sio kubwa.
 
Fungua uzi wako mkuu, acha kiherehere. Samaleko
Waleikhum salaam rahmatullaih wabarakhatul, Sheikh mawawa.

Sina haja ya kufungua Uzi kueleza dini ambazo tumeletewa na mzungu na mwarabu kifupi binadamu mweupe.

Binafsi kuhusu dini sipendi ubishani kwa sababu hauna tija na faida kwa nchi za afrika, ni utumwa Kama ule wa karne za awali.

Nimetoa hoja tu kuongezea Uzi kuwa wachangiaji wengi, kwa Imani nadhani umenielewa barabara.

😳 😳
 
Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4.

Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo Vituo vya njia ya msalaba Minara midogo 12 Sakastia 3 Maaskofu 1 Mapadre 2 Waministranti 3 Box maungamo 6 Sacrarium

Lift ya kwenda juu na basement Cathedral square ipo nje Ghorofani Waiting lounge watu 120-150 Ofisi 4 Store 4 Archive Makanisa madogo 2; Watu 200 Basement


Makaburi 12 ya chini Makaburi ya ukutani Vituo 14 njia ya msalaba Kanisa la kuabudia watu 220 Strong room Handaki.
View attachment 2752329
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
 
Back
Top Bottom