Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

Nadhani hata wakichanga buku buku hawakosi bilioni 200 za ujenzi
uzuri wakatoliki ni wengi ndani ya parokia moja wakichanga hata hizo bukubuku zinazidi gharama ya ujenzi huo. Sasa hapo wakiwekwa kwenye magrupu ya kutoa milioni moja hadi elfu tano watakusanya pesa nyingi mpaka za kumlipa mkandarasi zitabaki
 
Maskini waafrika, hela zote hizo za kujenga kanisa si wajenge kiwanda kiajiri maelfu ya vijana wapate ajira na kipato. Makanisa na misikiti ni mawakala wa umaskini kwanza yanadumaza akili pili yanachukua hata kidogo walichonacho masikini eti ni sadaka na fungu la kumi.

Huu utumwa sijui utaisha lini maana yatupasa kujenga vitega uchumi vyetu kama viwanda badala ya misikiti na makanisa ambavyo ni vitega uchumi wa mwarabu na mzungu.
 
Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4.

Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo Vituo vya njia ya msalaba Minara midogo 12 Sakastia 3 Maaskofu 1 Mapadre 2 Waministranti 3 Box maungamo 6 Sacrarium

Lift ya kwenda juu na basement Cathedral square ipo nje Ghorofani Waiting lounge watu 120-150 Ofisi 4 Store 4 Archive Makanisa madogo 2; Watu 200 Basement

Makaburi 12 ya chini Makaburi ya ukutani Vituo 14 njia ya msalaba Kanisa la kuabudia watu 220 Strong room Handaki.
View attachment 2752329
Tunajiandaa na Unyakuo...
 
utoaji ni sehemu ya ibada, usipotoa sehemu rasmi utatoa kwa shetani tena kwa lazima ili upone shida yako. Bora utoaji wa hiari kuliko utoaji wa maagano ya kishetani
 
Hapo ndipo mnapodanganywa. Kwahiyo kanisani unamtolea nani?
 
Kma ni geza kigamboni hope ni karibu na site yangu pale geza juu karibu na dege, mana kuna pori la kuelekea baharini kule nilikuwa najiuliza ni la nani na kwa matumizi gn mana lilikuwa kama limetekelekezwa. Gafla kuanzia mwezi juni nikaona wameanza kitu kama kuchonga barabara za kupitisha magari
 
Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4.

Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo Vituo vya njia ya msalaba Minara midogo 12 Sakastia 3 Maaskofu 1 Mapadre 2 Waministranti 3 Box maungamo 6 Sacrarium

Lift ya kwenda juu na basement Cathedral square ipo nje Ghorofani Waiting lounge watu 120-150 Ofisi 4 Store 4 Archive Makanisa madogo 2; Watu 200 Basement

Makaburi 12 ya chini Makaburi ya ukutani Vituo 14 njia ya msalaba Kanisa la kuabudia watu 220 Strong room Handaki.
View attachment 2752329
Hili Kanisa lilitakiwa lijengwe Chato ninapoabudia Kila Dominika!
 
Lile la makongo limekula zaidi ya b moja
Lile la Makongo ni zuri mno halafu ni kubwa. Hongereni sana Parokia ya Makongo . Halafu kuna hili ya Goba hapa Saint Joseph Secondary nalo naona ni kubwa na ujenzi wake nigumu maana naona limejengwa sehemu ambayo kulikuwa bondeni. Ila Hongereni sana ujenzi wa kanisa ni kujitoa haswa.
 
Maskini waafrika, hela zote hizo za kujenga kanisa si wajenge kiwanda kiajiri maelfu ya vijana wapate ajira na kipato. Makanisa na misikiti ni mawakala wa umaskini kwanza yanadumaza akili pili yanachukua hata kidogo walichonacho masikini eti ni sadaka na fungu la kumi.

Huu utumwa sijui utaisha lini maana yatupasa kujenga vitega uchumi vyetu kama viwanda badala ya misikiti na makanisa ambavyo ni vitega uchumi wa mwarabu na mzungu.
Mkuu,
Tumia hela zako kujenga kiwanda. Sisi tumeamua kuzitumia zetu kujenga Cathedral. Tusipangiane.
 
Back
Top Bottom