Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

Kwa fikira za namna hii kweli inabidi mfundishwe katiba hata miaka 9
Kwa hiyo katiba mpya itatufanya tuwaze kama wwe ? Au katiba mpya itatoa mwongozo wa ujenzi wa makanisa na misikiti? Pengine hata katiba yenyewe hujawahi Iona.Angalau naweza kukwambia kuwa katiba iliyopo imegawanyika vipande vipande ibara 1-9 ni directive,10-11 ni general,12-30 human rights,31-35 pooitical rights the rest ni mambo ya utawala.
 
I Confirm.
 
View attachment 2753743
Natamani umoja na hamasa tunayopeana kujenga nyumba za ibada tungetumia nguvu hiyo hiyo kuhamasishana kujenga vyuo vya ufundi na teknolojia kufunza vijana wetu.
Kutoka 20:4-6
[4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

[6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
 
Akili zingine bhana!!!,Sasa hicho kifungu ulichokinukuu kinahusiana nini na mada hii?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kutoka 20:4-6
[4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

[6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Wasabato mmekaririshwa! Nani alikwambia Wakatoliki wanasujudia hizo sanamu humo Kanisani? Hizo zinatumika katika kutafakarisha! Umewahi kusoma ile habari ya nyoka wa shaba aliyetengenezwa mbele ya wana wa Israeli? Mbona hiyo hukulalamika kwamba ni sanamu?
 
Dah..Hawa Wakatoliki Kweli Wana Maono Ya Mbali...!

Bwana Mungu Awabariki sana, na Kwa Kuwa Wana MTAKATIFUZA na Kumfanya Atukuzwe na Kumheshimisha Mungu, Yahwe,Jehova, Kristo Mfalme.....Awape Kibali Waanze Mara moja...!

Sisi Wengine tutaelewa taratibu hamna Shida..!
 
Tukianza kuchangishana mkuu karibu uchangie kwa chochote nawe pamoja na uzao wako mtabarikiwa!
 
Hili jengo linaweza kuwachukua miaka 20 mpaka kukamilika kwa viwango hivi, huku gharama yake ikiwa kati ya Bil 30 - 50.
Jimbo la Dar es Salaam Lina parokia zaidi ya 20,michango itapita hapa miaka 3 Hadi 4 litakuwa limekwisha.
 
Safi sana, gezaulole ipo mkoa gani na wilaya gani? Manake gezaulole ni jina common sana kama jina la majengo.
 
Back
Top Bottom