Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

KANISA KUU MBADALA WA ST. JOSEPH LITAKALOJENGWA GEZAULOLE, JIMBO KUU DSM (Kanisa Tarajiwa) Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral

Umbo: Msalaba

Ukubwa: 13,000sqm

Idadi ya 9,816

Minara mikubwa 4

Milango 19

Altre ya walei na ya makrelo

Kisima cha ubatizo

Vituo vya njia ya msalaba

Minara midogo 12

Sakastia 3

Maaskofu 1

Mapadre 2

Waministranti 3

Box maungamo 6

Sacrarium

Lift ya kwenda juu na basement

Cathedral square ipo nje

Ghorofani.
Waiting lounge watu 120-150

Ofisi 4

Store 4

Archive

Makanisa madogo 2 la Mt. Joseph na Bikira Maria Watu 200

Basement

Makaburi 12 ya chini

Makaburi ya ukutani

Vituo 14 njia ya msalaba

Kanisa la kuabudia watu 220

Strong room

Handaki

IMG-20230917-WA0012.jpg
 
Bila Imani ni kazi bure, nyumba za ibada ni muhimu Kwa ukuaji wa kiroho na kifikra
Mapadri na Masheikh wanaongoza kwa kutumia muda mwingi kwenye hizo nyumba na kufundisha wengine ila ndio wanaongoza kwa kulawiti watoto, roho zao zinahitaji nini zaidi ili zikue??!!
 
Mapadri na Masheikh wanaongoza kwa kutumia muda mwingi kwenye hizo nyumba na kufundisha wengine ila ndio wanaongoza kwa kulawiti watoto, roho zao zinahitaji nini zaidi ili zikue??!!
Huo ni wivu tu umeingia kichwani.Jambo lolote la maendeleo huppngezwa kwanza.Hilo kanisa litakua kivutio na ishala ya maendeleo yetu wenyewe.Pale msimbazi Kwa watawa wa OFM CapMsimbazi .pamejengewa vizuri watu wengi bila kujali dini siku ya Harusi,graduation na sherehe wanakwenda kupiga picha.
 
Kwa fikira za namna hii kweli inabidi mfundishwe katiba hata miaka 9
 
Back
Top Bottom