Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣Sehemu wanapogombea urithi wa misikiti na vifrem vya biashara?Allah akuongoze katika Uislam.
Nope
I pass
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Sehemu wanapogombea urithi wa misikiti na vifrem vya biashara?Allah akuongoze katika Uislam.
Hakuna mashaka kabisa wakijenga msikiti, ni ishara iliyo njema kueneza na kuhimiza dini katika jamii.Kwani kuna tatizo wakijenga msikiti ?
Tunaukimbilia ulinzi wako was it necessary???[emoji1787]Tunaukimbilia ulinzi wako....................
Rudi katika Uislam. Uislam ndio asili yako. Rudi katika kumuabudu Mola wako peke yake bila kumshirikisha na chochote. Yeye ni Mmoja tu asiye na mshirika yoyote.🤣🤣Sehemu wanapogombea urithi wa misikiti na vifrem vya biashara?
Nope
I pass
uislam unasem Allah asitajwe pamoja na kiumbe yeyote,unaijua shahada ya kiislam inasemaje???Rudi katika Uislam. Uislam ndio asili yako. Rudi katika kumuabudu Mola wako peke yake bila kumshirikisha na chochote. Yeye ni Mmoja tu asiye na mshirika yoyote.
View attachment 2754346
64. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu.
(Qur-an 3 : 64)
Siwezi. copy right hizo KiongoziTuwekee hapa huo mchoro
Parokia 20 si Karibia ya dekania ya Mt Gasper,labda parokia 120Jimbo la Dar es Salaam Lina parokia zaidi ya 20,michango itapita hapa miaka 3 Hadi 4 litakuwa limekwisha.
Vituo vya mayatima vitajengwa na makanisa yatajengwa vyote vina umuhimu wake.Kwa kuwa dini zimesukwa na watu, Mungu wa kweli hahitaji jumba kama hilo, hizo pesa zingejenga kituo cha watoto yatima.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Akili zao wanatijua wenyewe.Sijaona kama Mungu ana mama, ndio naskia
Unajua kanisa linafaidika na nini kwenye jamii?Punguza makasiliko,kanisa limeleta mengi mazuri katika jamii zetu.
Hiyo buku ni ya nini yeye muweza wa yote.yaani unaumia Mungu akipewa buku utadhani Mungu ni mke mwenzio.
3, vimeajili zaidi ya vijana na akina mama 50 .Wewe wakala wa utajiri umejenga viwanda vingapi?
Hizo shule na hospitali ananufaikaje muumini wa kanisa aliyetoa sadaka kufanikisha hiyo miradi? Je akiugua atatibiwa bure au kwa bei nafuu na kama hana ada mwanae ataweza soma bure au kwa bei nafuu?Kanisa katoliki Lina viwanda,vyuo vya ufundi,vyuo vya uuguzi,vyuo vikuu,shule zote,mashamba ya kilimo,Apartments,Benki TV,Redio nk..sasa unataka lifanye kipi ikupendeze Mzee.Acha mengine yapite.Kila watu wanapopost Dar es Salaam hawaachi kutumia picha ya st.Joseph Cathedral bila kujali dini ya anayepost kizuri hupendwa na Kila mtu.Mimi mwenye nikionaga miskiti mizuri navutiwa sio kwa mambo yake bali usanifu wake
Kama ambavyo wewe hatukukupangia kujenga viwanda, usitupangie nasi kujenga Makanisa. Kila mmoja ashinde matches zake.3, vimeajili zaidi ya vijana na akina mama 50 .
hata buku buku ni zake au umesahau??Hiyo buku ni ya nini yeye muweza wa yote.