Kwa hiyo katiba mpya itatufanya tuwaze kama wwe ? Au katiba mpya itatoa mwongozo wa ujenzi wa makanisa na misikiti? Pengine hata katiba yenyewe hujawahi Iona.Angalau naweza kukwambia kuwa katiba iliyopo imegawanyika vipande vipande ibara 1-9 ni directive,10-11 ni general,12-30 human rights,31-35 pooitical rights the rest ni mambo ya utawala.Kwa fikira za namna hii kweli inabidi mfundishwe katiba hata miaka 9