shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,192
- 2,120
Hivi mmechambua siasa za Tanzania na watanzania?? Hahahahaha, yaani nakuhakikishia hakuna hata chombo kimoja cha ulinzi na usalama kinachoweza kumpatia madara huyo mtu wenu kibaraka mwenye upungufu wa akili mtumikia mabeberu, that will never ever ever happen under the sun in Tanzania, muulizeni Maalim Seif huko Zenji anajua kabisa siku zote kura hazitoshi, na ndiyo ujue watanzania siyo wajinga. Kikubwa mjiandae tu kisaikolojia kuishi chini ya utawala wa Dkt Magufuli for another 5 years.wakati mwingine Njia za Mungu hazichunguziki. Daudi anafahamu fika Sauli ni mpakwa mafuta wa Bwana lakini naye amepakwa mafuta tayari kushika nafasi ya Sauli. Kifupi Sauli (Magu) aanze kuondoka maana Daudi (Lissu) majira haya ni yake na anatakiwa kutangazwa kuwa mfalme.
Baba Mwingira ajiandae tena kuaibika kama alivyoaibika 2015, maana napo alibeza sana na alimbeza sana Dkt Magufuli. Kikubwa kuna toafuti kati ya utawala wa nchi na utawala wa mbinguni na ndiyo maana hata wana wa Israel walipoamua kumuomba Mungu nao wawe na wafalme alikasirika ila hakuna na namna akawaruhusu na ndicho kilichopo Tanzania, sema wahubiri wetu wanajisahau kabisa kuwa hawana mamlaka juu ya utawala wa hapa duniani maana hayo mamlaka Mungu alishayaridhia siku nyingi.
Hakuna namna mpinzani anaweza kuwa rais kwa Tanzania, yaani upinzani wa hivyo bado haujazaliwa. Zitto tried ila baadaye tamaa za hela toka kwa mabeberu. Dr Slaa aliweza ila ndiyo hivyo Mbowe tamaa ikamuingia. So mzoee tu wadau. Poleni sana.