Kanisa la Efatha la Mch. Mwingira limejengwa sehemu ambayo nina mashaka nayo

Kanu ilikuwaje kunachama ilikuwa na nguvu kama kanu ushindi wa wizi sasa basi haki bin haki
Siasa za Kenya zina ukabila, yaani muungano wa makabila ndiyo huamua rais, haijalishi sera. Tanzania hatuna ukabila. Wanaoamua nani awe rais ni watanzania. Ndiyo maana wana Kilimanjaro waliomba msamaha baada ya 2015 kutumia kete ya ukabila kushindwa.
 
Vp zile 1.5 tr?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hapana hapakuwa na upotevu wa hela mkuu. Zile ni propaganda. Ila nadhani kuna umuhimu wa kuachana na siasa za uongo, na ninadhani serikali inaangalia namna ya kuzuia uongo na uzushi, maana mtu kama wewe hicho kitu cha uongo unaweza kuta moyoni mwako unaamini ni ukweli
 
Mimi siyo shabiki wala mfuasi wa Mwingira ila kabla ya October 28 Mch Mwingira ajiandae kwa yafuatayo:
1. Kuulizwa uraia wake
2. Kuulizwa mapato ya kanisa
3. Kuulizwa records zake za ulipaji kodi
4. Usajili wa kanisa lake
5. Kuulizwa bodi ya wadhamini wa kanisa lake
6. Mahusiano yake na waumini wanawake
7. Silaha anayomiliki
8. Uhusuano wake na chadema
9. Kujenga eneo lisilotakiwa
Nakazia
 
Siasa za Kenya zina ukabila, yaani muungano wa makabila ndiyo huamua rais, haijalishi sera. Tanzania hatuna ukabila. Wanaoamua nani awe rais ni watanzania. Ndiyo maana wana Kilimanjaro waliomba msamaha baada ya 2015 kutumia kete ya ukabila kushindwa.
Tanzania, wananchi hupiga kura na tume huamuwa
 
Nmepita leo kuangalia lile Kanisa lilipojengwa nmepata mashaka kiasi. Nina waswasi linaweza kuwa limejengwa kwenye hifadhi ya barabara au limejengwa sehemu ambayo kulipaswa kujengwa bandari kavu.

Lakini pia ile sehemu inawezekana kabisa ikawa ni eneo la Jeshi. Maana kuna kambi ya Lugalo maeneo hayo. Haya mambo sidhani kama Mch. Mwingira ameyafikiria.

Lakini pia nadhani ana mashamba/viwanja vingi vyenye mgogoro huu ndo wakati wake wa kutatuliwa migogoro hiyo kwa kurudishwa maeneo husika hivyo viwanja na mashamba.

Sijajua kama Mwingira analipa kodi ipasavyo. Hili nalo naweka tu kama angalizo maana kumekuwa na tabia ya watu mbalimbali kutolipa kodi mpaka serikali inasahau. Ila wakija kuimbusha wenyewe baadaye wakidaiwa wanalalamika tena. Mwingira ameanza ikumbusha serikali mambo haya.

Haya nmeyaongea kwa kuangalia tu mwenendo wake na mambo kadhaa. Tusubirini tu siku si nyingi sana.
Shenzi zenu mkichanwa mnatafuta sababu??

Tulieni dawa iwaingie
 
Tanzania, wananchi hupiga kura na tume huamuwa
Ndiyo maana watanzania na wapiga kura na usalama huangalia ni nani yupo kwa maslahi ya nchi. Lisu hajafanyiwa hata vetting eti aje awe rais hahahahahahahahahahahahahahahahaha vichekesho vya dunia.
 
Nmepita leo kuangalia lile Kanisa lilipojengwa nmepata mashaka kiasi. Nina waswasi linaweza kuwa limejengwa kwenye hifadhi ya barabara au limejengwa sehemu ambayo kulipaswa kujengwa bandari kavu.

Lakini pia ile sehemu inawezekana kabisa ikawa ni eneo la Jeshi. Maana kuna kambi ya Lugalo maeneo hayo. Haya mambo sidhani kama Mch. Mwingira ameyafikiria.

Lakini pia nadhani ana mashamba/viwanja vingi vyenye mgogoro huu ndo wakati wake wa kutatuliwa migogoro hiyo kwa kurudishwa maeneo husika hivyo viwanja na mashamba.

Sijajua kama Mwingira analipa kodi ipasavyo. Hili nalo naweka tu kama angalizo maana kumekuwa na tabia ya watu mbalimbali kutolipa kodi mpaka serikali inasahau. Ila wakija kuimbusha wenyewe baadaye wakidaiwa wanalalamika tena. Mwingira ameanza ikumbusha serikali mambo haya.

Haya nmeyaongea kwa kuangalia tu mwenendo wake na mambo kadhaa. Tusubirini tu siku si nyingi sana.
Kisa kasema Lisu ni unstoppable kalibomoeni
 
Yaani Dkt Magufuli LAZIMA ashinde. Jiandae kisaikolojia. CCM haiwezi kushindwa. Ni mpumbavu tu na mjinga anaweza kubeza kuboresha maisha kwa kila mtanzania. Inafaida gani kama mimi ningeongezewa mshahara badala ya kuwa na miundombinu iliyoboreshwa ambayo kila mtanzania anaweza kuitumia? Baadhi yenu nyie ni wabinafsi sana. Acha Mungu awanyooshe ili musiwe mnadanganya watu. Miaka 5 tena kwa Dkt Magufuli
Mungu hawezi kuwa pamoja na watekaji hapo umejidanganya labda mungu sio Mungu
 
Kama amejiingiza kwenye 18 zao acha tuangalie nani ana ubavu.
Achague mojawapo maana ujasiriamali utaguswa na wenzake after 28 oct.
Waumini wake wana ccm ndio watatoa mchoro wapi pa kumshika
 
Mwingira ajiandae kwa case Kama kakobe mpaka anyooke na kuanza kusifia tena
Ka-tortoise alinyooshwa kweri kweri, akanyooka mpaka akapitiliza, sasa ndiye anasifu kuliko aliowakuta kwenye praise team.
Mwingira kasema ukweli ambao unaweza kumgharimu, amejiandaa vipi yeye ndiye anajua na Mungu wake.
 
Mimi siyo shabiki wala mfuasi wa Mwingira ila kabla ya October 28 Mch Mwingira ajiandae kwa yafuatayo:
1. Kuulizwa uraia wake
2. Kuulizwa mapato ya kanisa
3. Kuulizwa records zake za ulipaji kodi
4. Usajili wa kanisa lake
5. Kuulizwa bodi ya wadhamini wa kanisa lake
6. Mahusiano yake na waumini wanawake
7. Silaha anayomiliki
8. Uhusuano wake na chadema
9. Kujenga eneo lisilotakiwa
Uhalali wa umiliki wa viwanja kibaha.
 
Ndiyo maana watanzania na wapiga kura na usalama huangalia ni nani yupo kwa maslahi ya nchi. Lisu hajafanyiwa hata vetting eti aje awe rais hahahahahahahahahahahahahahahahaha vichekesho vya dunia.
Vetting ya kufanywa na usalama wa taifa ambao Afisa wa dawati la siasa ni Patrobas katambi ipo siku tutafanyiwa vetting rais awe GWAJIMA.
 
Nmepita leo kuangalia lile Kanisa lilipojengwa nmepata mashaka kiasi. Nina waswasi linaweza kuwa limejengwa kwenye hifadhi ya barabara au limejengwa sehemu ambayo kulipaswa kujengwa bandari kavu.

Lakini pia ile sehemu inawezekana kabisa ikawa ni eneo la Jeshi. Maana kuna kambi ya Lugalo maeneo hayo. Haya mambo sidhani kama Mch. Mwingira ameyafikiria.

Lakini pia nadhani ana mashamba/viwanja vingi vyenye mgogoro huu ndo wakati wake wa kutatuliwa migogoro hiyo kwa kurudishwa maeneo husika hivyo viwanja na mashamba.

Sijajua kama Mwingira analipa kodi ipasavyo. Hili nalo naweka tu kama angalizo maana kumekuwa na tabia ya watu mbalimbali kutolipa kodi mpaka serikali inasahau. Ila wakija kuimbusha wenyewe baadaye wakidaiwa wanalalamika tena. Mwingira ameanza ikumbusha serikali mambo haya.

Haya nmeyaongea kwa kuangalia tu mwenendo wake na mambo kadhaa. Tusubirini tu siku si nyingi sana.

Umetisha!. Ha ahaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hapana mkuu. Kumbuka mishahara hatujaongezewa ila we are happy kuona hizo hela zinatumika kwa faida ya watanzania wote. Mtakuja kuelewa tu baada ya miaka kazaa.
Miundombinu kujengwa hakusimamishi maisha ya watu kuendelea. Pia lazina ujue, hata waliopita walijenga miundombinu mnayosema na watu waliendelea na maisha yao.

Ni wajinga pekee wanaodhani ili kujenga miundombinu lazima watu waumie na wawe masikini.

Pia yakupasa ujue, wakati miundombinu inajengwa, ilitakiwa na watu wawe wanajenga nyumba zao. Unajua bei za vifaa vya ujenzi kwa sasa?

Mmejawa na kaupumbavu fulani utadhani miundombinu hiyo haitakuja kupanuliwa huko mbele. Unaelewa maana yake? Maana yake ni tuaendelea kujenga miundombinu huku watu wetu wakiendelea kuwa mafukara
 
Hivi mmechambua siasa za Tanzania na watanzania?? Hahahahaha, yaani nakuhakikishia hakuna hata chombo kimoja cha ulinzi na usalama kinachoweza kumpatia madara huyo mtu wenu kibaraka mwenye upungufu wa akili mtumikia mabeberu, that will never ever ever happen under the sun in Tanzania, muulizeni Maalim Seif huko Zenji anajua kabisa siku zote kura hazitoshi, na ndiyo ujue watanzania siyo wajinga. Kikubwa mjiandae tu kisaikolojia kuishi chini ya utawala wa Dkt Magufuli for another 5 years.

Baba Mwingira ajiandae tena kuaibika kama alivyoaibika 2015, maana napo alibeza sana na alimbeza sana Dkt Magufuli. Kikubwa kuna toafuti kati ya utawala wa nchi na utawala wa mbinguni na ndiyo maana hata wana wa Israel walipoamua kumuomba Mungu nao wawe na wafalme alikasirika ila hakuna na namna akawaruhusu na ndicho kilichopo Tanzania, sema wahubiri wetu wanajisahau kabisa kuwa hawana mamlaka juu ya utawala wa hapa duniani maana hayo mamlaka Mungu alishayaridhia siku nyingi.

Hakuna namna mpinzani anaweza kuwa rais kwa Tanzania, yaani upinzani wa hivyo bado haujazaliwa. Zitto tried ila baadaye tamaa za hela toka kwa mabeberu. Dr Slaa aliweza ila ndiyo hivyo Mbowe tamaa ikamuingia. So mzoee tu wadau. Poleni sana.
Kwani umekasirika? vumilia tu mamy
 
Back
Top Bottom