shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,192
- 2,120
Hivi mmechambua siasa za Tanzania na watanzania?? Hahahahaha, yaani nakuhakikishia hakuna hata chombo kimoja cha ulinzi na usalama kinachoweza kumpatia madara huyo mtu wenu kibaraka mwenye upungufu wa akili mtumikia mabeberu, that will never ever ever happen under the sun in Tanzania, muulizeni Maalim Seif huko Zenji anajua kabisa siku zote kura hazitoshi, na ndiyo ujue watanzania siyo wajinga. Kikubwa mjiandae tu kisaikolojia kuishi chini ya utawala wa Dkt Magufuli for another 5 years.wakati mwingine Njia za Mungu hazichunguziki. Daudi anafahamu fika Sauli ni mpakwa mafuta wa Bwana lakini naye amepakwa mafuta tayari kushika nafasi ya Sauli. Kifupi Sauli (Magu) aanze kuondoka maana Daudi (Lissu) majira haya ni yake na anatakiwa kutangazwa kuwa mfalme.
Sawa, kuna utofauti wa hizo tawala mbili...ila ukae ukijua upo utawala ambao ni superior kwa mwingine..endeleeni kujitelenya. TUMEWSCHOKA!Hivi mnatumia mmechambua siasa za Tanzania na watanzania?? Hahahahaha, yaani nakuhakikishia hakuna hata chombo kimoja cha ulinzi na usalama kinachoweza kumpatia madara huyo mtu wenu kibaraka mwenye upungufu wa akili mtumikia mabeberu, that will never ever ever happen under the sun in Tanzania, muulizeni Maalim Seif huko Zenji anajua kabisa siku zote kura hazitoshi, na ndiyo ujue watanzania siyo wajinga...
Neno hili gumu sana browakati mwingine Njia za Mungu hazichunguziki....Daudi anafahamu fika Sauli ni mpakwa mafuta wa Bwana lakini naye amepakwa mafuta tayari kushika nafasi ya Sauli.......Kifupi Sauli (Magu) aanze kuondoka maana Daudi (Lissu) majira haya ni yake na anatakiwa kutangazwa kuwa mfalme
Kabulayule mama wa Kebbys hotel Bamaga ?
Yaani Dkt Magufuli LAZIMA ashinde. Jiandae kisaikolojia. CCM haiwezi kushindwa. Ni mpumbavu tu na mjinga anaweza kubeza kuboresha maisha kwa kila mtanzania. Inafaida gani kama mimi ningeongezewa mshahara badala ya kuwa na miundombinu iliyoboreshwa ambayo kila mtanzania anaweza kuitumia? Baadhi yenu nyie ni wabinafsi sana. Acha Mungu awanyooshe ili musiwe mnadanganya watu. Miaka 5 tena kwa Dkt MagufuliSawa...kuna utofauti wa hizo tawala mbili...ila ukae ukijua upo utawala ambao ni superior kwa mwingine..endeleeni kujitelenya....TUMEWSCHOKA!
Mnaofaidika na utawala huu ndo wabinafsiYaani Dkt Magufuli LAZIMA ashinde. Jiandae kisaikolojia. CCM haiwezi kushindwa. Ni mpumbavu tu na mjinga anaweza kubeza kuboresha maisha kwa kila mtanzania. Inafaida gani kama mimi ningeongezewa mshahara badala ya kuwa na miundombinu iliyoboreshwa ambayo kila mtanzania anaweza kuitumia? Baadhi yenu nyie ni wabinafsi sana. Acha Mungu awanyooshe ili musiwe mnadanganya watu. Miaka 5 tena kwa Dkt Magufuli
Ndiyo nani hao?Kama za hawa eti? View attachment 1579116
Hapana mkuu. Kumbuka mishahara hatujaongezewa ila we are happy kuona hizo hela zinatumika kwa faida ya watanzania wote. Mtakuja kuelewa tu baada ya miaka kazaa.Mnaofaidika na utawala huu ndo wabinafsi
Hivi mmechambua siasa za Tanzania na watanzania?? Hahahahaha, yaani nakuhakikishia hakuna hata chombo kimoja cha ulinzi na usalama kinachoweza kumpatia madara huyo mtu wenu kibaraka mwenye upungufu wa akili mtumikia mabeberu, that will never ever ever happen under the sun in Tanzania, muulizeni Maalim Seif huko Zenji anajua kabisa siku zote kura hazitoshi, na ndiyo ujue watanzania siyo wajinga. Kikubwa mjiandae tu kisaikolojia kuishi chini ya utawala wa Dkt Magufuli for another 5 years.
Baba Mwingira ajiandae tena kuaibika kama alivyoaibika 2015, maana napo alibeza sana na alimbeza sana Dkt Magufuli. Kikubwa kuna toafuti kati ya utawala wa nchi na utawala wa mbinguni na ndiyo maana hata wana wa Israel walipoamua kumuomba Mungu nao wawe na wafalme alikasirika ila hakuna na namna akawaruhusu na ndicho kilichopo Tanzania, sema wahubiri wetu wanajisahau kabisa kuwa hawana mamlaka juu ya utawala wa hapa duniani maana hayo mamlaka Mungu alishayaridhia siku nyingi.
Hakuna namna mpinzani anaweza kuwa rais kwa Tanzania, yaani upinzani wa hivyo bado haujazaliwa. Zitto tried ila baadaye tamaa za hela toka kwa mabeberu. Dr Slaa aliweza ila ndiyo hivyo Mbowe tamaa ikamuingia. So mzoee tu wadau. Poleni sana.
He hee....poleni sanaHapana mkuu. Kumbuka mishahara hatujaongezewa ila we are happy kuona hizo hela zinatumika kwa faida ya watanzania wote. Mtakuja kuelewa tu baada ya miaka kazaa.
Palipo Lissu watu wana Furaha wana Matumaini,wana Amani ya Moyo twende na LissuAnga lote limempokea na kumkubali Tundu lissu.
Hiiispana zake zimewaingia kweri-kweri
PoleWewe bado mtoto kama unafikiria dola ni mali ya ccm utashangaa. Dola ni mali ya wananchi linabadilika wakati wowote. Acha ujinga mtoto wa kiume
Ni yeye 2020, mwaga pombe nenda na Lissu, nasikia jamaa kalegea hatari. Watanzania wamemwelewa sana Mh Lissu.Hivi mmechambua siasa za Tanzania na watanzania?? Hahahahaha, yaani nakuhakikishia hakuna hata chombo kimoja cha ulinzi na usalama kinachoweza kumpatia madara huyo mtu wenu kibaraka mwenye upungufu wa akili mtumikia mabeberu, that will never ever ever happen under the sun in Tanzania, muulizeni Maalim Seif huko Zenji anajua kabisa siku zote kura hazitoshi, na ndiyo ujue watanzania siyo wajinga. Kikubwa mjiandae tu kisaikolojia kuishi chini ya utawala wa Dkt Magufuli for another 5 years.
Baba Mwingira ajiandae tena kuaibika kama alivyoaibika 2015, maana napo alibeza sana na alimbeza sana Dkt Magufuli. Kikubwa kuna toafuti kati ya utawala wa nchi na utawala wa mbinguni na ndiyo maana hata wana wa Israel walipoamua kumuomba Mungu nao wawe na wafalme alikasirika ila hakuna na namna akawaruhusu na ndicho kilichopo Tanzania, sema wahubiri wetu wanajisahau kabisa kuwa hawana mamlaka juu ya utawala wa hapa duniani maana hayo mamlaka Mungu alishayaridhia siku nyingi.
Hakuna namna mpinzani anaweza kuwa rais kwa Tanzania, yaani upinzani wa hivyo bado haujazaliwa. Zitto tried ila baadaye tamaa za hela toka kwa mabeberu. Dr Slaa aliweza ila ndiyo hivyo Mbowe tamaa ikamuingia. So mzoee tu wadau. Poleni sana.
Kanu ilikuwaje kunachama ilikuwa na nguvu kama kanu ushindi wa wizi sasa basi haki bin hakiYaani Dkt Magufuli LAZIMA ashinde. Jiandae kisaikolojia. CCM haiwezi kushindwa. Ni mpumbavu tu na mjinga anaweza kubeza kuboresha maisha kwa kila mtanzania. Inafaida gani kama mimi ningeongezewa mshahara badala ya kuwa na miundombinu iliyoboreshwa ambayo kila mtanzania anaweza kuitumia? Baadhi yenu nyie ni wabinafsi sana. Acha Mungu awanyooshe ili musiwe mnadanganya watu. Miaka 5 tena kwa Dkt Magufuli
Vp zile 1.5 tr?Hapana mkuu. Kumbuka mishahara hatujaongezewa ila we are happy kuona hizo hela zinatumika kwa faida ya watanzania wote. Mtakuja kuelewa tu baada ya miaka kazaa.