Kanisa la Efatha la Mch. Mwingira limejengwa sehemu ambayo nina mashaka nayo

Kanu ilikuwaje kunachama ilikuwa na nguvu kama kanu ushindi wa wizi sasa basi haki bin haki
Siasa za Kenya zina ukabila, yaani muungano wa makabila ndiyo huamua rais, haijalishi sera. Tanzania hatuna ukabila. Wanaoamua nani awe rais ni watanzania. Ndiyo maana wana Kilimanjaro waliomba msamaha baada ya 2015 kutumia kete ya ukabila kushindwa.
 
Vp zile 1.5 tr?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hapana hapakuwa na upotevu wa hela mkuu. Zile ni propaganda. Ila nadhani kuna umuhimu wa kuachana na siasa za uongo, na ninadhani serikali inaangalia namna ya kuzuia uongo na uzushi, maana mtu kama wewe hicho kitu cha uongo unaweza kuta moyoni mwako unaamini ni ukweli
 
Nakazia
 
Siasa za Kenya zina ukabila, yaani muungano wa makabila ndiyo huamua rais, haijalishi sera. Tanzania hatuna ukabila. Wanaoamua nani awe rais ni watanzania. Ndiyo maana wana Kilimanjaro waliomba msamaha baada ya 2015 kutumia kete ya ukabila kushindwa.
Tanzania, wananchi hupiga kura na tume huamuwa
 
Shenzi zenu mkichanwa mnatafuta sababu??

Tulieni dawa iwaingie
 
Tanzania, wananchi hupiga kura na tume huamuwa
Ndiyo maana watanzania na wapiga kura na usalama huangalia ni nani yupo kwa maslahi ya nchi. Lisu hajafanyiwa hata vetting eti aje awe rais hahahahahahahahahahahahahahahahaha vichekesho vya dunia.
 
Kisa kasema Lisu ni unstoppable kalibomoeni
 
Mungu hawezi kuwa pamoja na watekaji hapo umejidanganya labda mungu sio Mungu
 
Kama amejiingiza kwenye 18 zao acha tuangalie nani ana ubavu.
Achague mojawapo maana ujasiriamali utaguswa na wenzake after 28 oct.
Waumini wake wana ccm ndio watatoa mchoro wapi pa kumshika
 
Mwingira ajiandae kwa case Kama kakobe mpaka anyooke na kuanza kusifia tena
Ka-tortoise alinyooshwa kweri kweri, akanyooka mpaka akapitiliza, sasa ndiye anasifu kuliko aliowakuta kwenye praise team.
Mwingira kasema ukweli ambao unaweza kumgharimu, amejiandaa vipi yeye ndiye anajua na Mungu wake.
 
Uhalali wa umiliki wa viwanja kibaha.
 
Ndiyo maana watanzania na wapiga kura na usalama huangalia ni nani yupo kwa maslahi ya nchi. Lisu hajafanyiwa hata vetting eti aje awe rais hahahahahahahahahahahahahahahahaha vichekesho vya dunia.
Vetting ya kufanywa na usalama wa taifa ambao Afisa wa dawati la siasa ni Patrobas katambi ipo siku tutafanyiwa vetting rais awe GWAJIMA.
 

Umetisha!. Ha ahaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hapana mkuu. Kumbuka mishahara hatujaongezewa ila we are happy kuona hizo hela zinatumika kwa faida ya watanzania wote. Mtakuja kuelewa tu baada ya miaka kazaa.
Miundombinu kujengwa hakusimamishi maisha ya watu kuendelea. Pia lazina ujue, hata waliopita walijenga miundombinu mnayosema na watu waliendelea na maisha yao.

Ni wajinga pekee wanaodhani ili kujenga miundombinu lazima watu waumie na wawe masikini.

Pia yakupasa ujue, wakati miundombinu inajengwa, ilitakiwa na watu wawe wanajenga nyumba zao. Unajua bei za vifaa vya ujenzi kwa sasa?


Mmejawa na kaupumbavu fulani utadhani miundombinu hiyo haitakuja kupanuliwa huko mbele. Unaelewa maana yake? Maana yake ni tuaendelea kujenga miundombinu huku watu wetu wakiendelea kuwa mafukara
 
Kwani umekasirika? vumilia tu mamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…