Kanisa la Efatha la Mch. Mwingira limejengwa sehemu ambayo nina mashaka nayo

Tulijua lazima hayo yatokee baada ya juzi clip kumuonyesha akimsifia mungu kwa maajabu aliyoyaonyesha kwa mhe.Lissu ...risasi 16 na bado yu hai?? Huyu mtu Ni mshindi ..alisikika pastor Mwingira ..povu povu ccm povuuuuuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Huu ndio Uhuru anaoupigania Lissu.

Sasa vyombo vikikurupuka na kumshugulikia Lissu anapata credit na waumini wake wengi watamuunga mkono Lissu.

Sasa ni wakati wa wasiopenda kusemwa wazoee kuishi ukweli
 
Watu bwana! hayo yote hamkuyaona kumhusu mpaka alipoonyesha kumuunga mkono Tundu Lissu.
Ni vizuri kiwa na uvumilivu wa kisiasa hamwezi kutaka watu wawazungumze wapinzani vile mnavyotaka. Kama ambavyo hao mnawazungumza wapinzani kwa ubaya kwa sababu mmeona mnayoyaita mabaya msiwazuie wengine wawazungumze kwa mazuri yao waliyo yaona.

Naona pia hujui madhara ya kutekelezwa kwa mapendekezo yako maana hiyo inaweka wazi zaidi mdhaifu ya serikali ya ccm na wizara zake kuanzia uhamiaji, ardhi usafirishaji na ulinzi na serikali ya aina hiyo haipaswi kuwa madarakani tena.

KWA UFUPI JIANDAENI KUACHIA NCHI NA MUANDAE MAPEMA WATU WA KUWAWEKEA DHAMANA MAHAKAMANI.
 
So CAG alidanganya?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Nabii ameishika Mboga Mboga kwenye Makende?
 
Ka-tortoise alinyooshwa kweri kweri, akanyooka mpaka akapitiliza, sasa ndiye anasifu kuliko aliowakuta kwenye praise team.
Mwingira kasema ukweli ambao unaweza kumgharimu, amejiandaa vipi yeye ndiye anajua na Mungu wake.
eti "ka-tortoise"🀣🀣🀣
 
Acheni vitisho nyie mataga
Vitisho eeh? Nadhani unaelewa ukichezea koki mbovu nini kitakupata, sasa mtu kaamua kuchezea umeme wa 3 phase halafu unasema mungu atambariki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
personal attacks baada ya kutoa tamko kisiasa...

Moderator tunaomba muufunge huu uzi haya madai yana nia ovu ya kumchafua mtumishi wa Mungu
 
Ajiandae kwenda KISUTU
 
Mtu ukose vyote lakini si Akili.[emoji23][emoji23][emoji23]
nyie ndio mmechanganyikiwa ..kwa sasa sio lissu tena bali mwingira..mnachanganywa kama maharagwe.
mwenyewe unajiita "chizi" chizi ana akili?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…