Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki KKAM lililokuwa Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam ambalo pia kwa jumapili mbili waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamekuwa wakisali hapo limevunjwa na eneo hilo panaonekana hakuna ibada zitakazoendelea siku ya leo
Jambo TV imefanya jitihada za kuwasiliana na uongozi wa kanisa hilo lakini namba simu haikupokelewa(jitihada bado zinaendelea, Hata hivyo jitihada za kuutafuta uongozi wa Kanisa la Ufufuo na uzima zinaendelea ili kufahamu ibada wanafanyaje leo na ni kipi kimelikumba kanisa la KKAM
Ikumbukwe leo ni jumapili ya sita tangu lilipofungiwa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) juni 02, 2025 na waumini wa kanisa hilo wamekuwa wakisali pembeni ya barabara ya Morogoro na kanisa la KKAM
Soma pia:
Chanzo: Jambo Tv

- Baada ya kudhibitiwa na Polisi, waumini wa Askofu Gwajima waibukia kwenye Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki kuendelea na Ibada
- Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani
Chanzo: Jambo Tv