Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
Kwani Pascal Mayalla anasemaje?
Not fail.
wana sadaka sio za nchi hiiKKKT kwa sadaka kiboko wanapenda hela hao
Naona Pascal Mayalla ume-like tu hakuna mchango wowote kwenye hii thread!Kwani Pascal Mayalla anasemaje?
Sasa wewe ulikuwa unataka Gwajima atumie Kanisa lake kuishambulia serikali na Serikali ikaye kimya Gwajima aendelee kuishambulia Serikali, mgemshauri Gwajima vita alivyoanzisha na dola hawezi kushinda, ona sasa anaishi kama Nguchiro kwenye mapango, wenzake kina Mwamposa wanakula bata😂Halafu baada ya kuachia madaraka mtarudi kujidai mnajutia matendo maovu mliyowatendea watu.Madaraka yaliyowalevya.You're not gods!
Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na ya msingi ambayo haiwezi kuvunjwa kwa visingizio vya kisiasa, udhibiti wa mamlaka au sababu zisizo halali. Serikali yoyote inayojihusisha na vitendo vya kuingilia shughuli za kidini, kwa kuzuia sala, kuwatisha waumini au kulifunga kanisa kwa misingi ya upendeleo au chuki, inakiuka hadhi ya utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.Sasa wewe ulikuwa unataka Gwajima atumie Kanisa lake kuishambulia serikali na Serikali ikaye kimya Gwajima aendelee kuishambulia Serikali, mgemshauri Gwajima vita alivyoanzisha na dola hawezi kushinda, ona sasa anaishi kama Nguchiro kwenye mapango, wenzake kina Mwamposa wanakula bata😂
Usiwe punguani yale maneno alikuwa anasema Gwajima ndiyo ibada? Uhuru wa kuabudu lazima uwe na mipaka. Unapanda kwenye Kanisa kisha unamtukana Tarimba huo ndiyo uhuru wa kuabudu😂Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na ya msingi ambayo haiwezi kuvunjwa kwa visingizio vya kisiasa, udhibiti wa mamlaka au sababu zisizo halali. Serikali yoyote inayojihusisha na vitendo vya kuingilia shughuli za kidini, kwa kuzuia sala, kuwatisha waumini au kulifunga kanisa kwa misingi ya upendeleo au chuki, inakiuka hadhi ya utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Wanaofanya hivi wamelaaniwa wao na kizazi chao na siku zao za kuishi zinahesabika.
GOD BLESS TANGANYIKA
Yupo wapi gwajima😂"Hauwezi kuzuia mvua Gwajima ni kama mvua akiamua kunyesha ananyesha" - SUGU
Yupo wapi gwajima😂
Serikali inayochukia dini ni serikali ya kishetani na kipepo.Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki KKAM lililokuwa Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam ambalo pia kwa jumapili mbili waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamekuwa wakisali hapo limevunjwa na eneo hilo panaonekana hakuna ibada zitakazoendelea siku ya leo
Jambo TV imefanya jitihada za kuwasiliana na uongozi wa kanisa hilo lakini namba simu haikupokelewa(jitihada bado zinaendelea, Hata hivyo jitihada za kuutafuta uongozi wa Kanisa la Ufufuo na uzima zinaendelea ili kufahamu ibada wanafanyaje leo na ni kipi kimelikumba kanisa la KKAM
Ikumbukwe leo ni jumapili ya sita tangu lilipofungiwa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) juni 02, 2025 na waumini wa kanisa hilo wamekuwa wakisali pembeni ya barabara ya Morogoro na kanisa la KKAM
Soma pia:
- Baada ya kudhibitiwa na Polisi, waumini wa Askofu Gwajima waibukia kwenye Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki kuendelea na Ibada
- Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani
View attachment 3404270
Chanzo: Jambo Tv
Kosa lao ni kuwakaribisha watu waliokataliwa na serikali ya CCM.Hao kosa lao nini?