Mathayo 16:18-19 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.dah kweli usishindane na serkali hata kama una haki
Hili lilijitenga kutoka KKKT,unafahamu kanisa la Kilutheri ? au mnakimbilia kuleta habari
hata KKKT ilipojitenga na katoliki hawa kujiita katolikiHili lilijitenga kutoka KKKT,
unafahamu kanisa la Kilutheri ? au mnakimbilia kuleta habari
Kwa hiyo unalazimisha!hata KKKT ilipojitenga na katoliki hawa kujiita katoliki
Ngoja tuonehata KKKT ilipojitenga na katoliki hawa kujiita katoliki
Umesoma vizuri? Kasema KKAM na sio KKKTunafahamu kanisa la Kilutheri ? au mnakimbilia kuleta habari
Hawakujifunza kwa wamasai wa ngorongoro mbona walitoa somo clear kabisaWaumini wa Gwajima kwa muda huu wa dharura anzeni kusali Roman Cathoric - Nendeni muombe nafasi ndani ya kanisa hilo ambalo ndiyo mama wa Dunia wa inada ili mfanye ibada yenu pembeni - dawa ndiyo hiyo.
Umenikumbusha sentence ya "don't fight the Fed". Ni kweli, kamwe usishindane nao.dah kweli usishindane na serkali hata kama una haki
KKKT kwa sadaka kiboko wanapenda hela haoHili lilijitenga kutoka KKKT,