Kanisa la KKAM walilosali waumini wa Gwajima limevunjwa

Usishindane na serikali, iondoe madarakani kwa kutumia kura, ila tatizo kubwa ni "!uhuru na haki ya kupiga kura" maujanja ni mengi.
 
Halafu baada ya kuachia madaraka mtarudi kujidai mnajutia matendo maovu mliyowatendea watu.Madaraka yaliyowalevya.You're not gods!
Sasa wewe ulikuwa unataka Gwajima atumie Kanisa lake kuishambulia serikali na Serikali ikaye kimya Gwajima aendelee kuishambulia Serikali, mgemshauri Gwajima vita alivyoanzisha na dola hawezi kushinda, ona sasa anaishi kama Nguchiro kwenye mapango, wenzake kina Mwamposa wanakula bata😂
 
Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na ya msingi ambayo haiwezi kuvunjwa kwa visingizio vya kisiasa, udhibiti wa mamlaka au sababu zisizo halali. Serikali yoyote inayojihusisha na vitendo vya kuingilia shughuli za kidini, kwa kuzuia sala, kuwatisha waumini au kulifunga kanisa kwa misingi ya upendeleo au chuki, inakiuka hadhi ya utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.

Wanaofanya hivi wamelaaniwa wao na kizazi chao na siku zao za kuishi zinahesabika.

GOD BLESS TANGANYIKA
 
"Hauwezi kuzuia mvua Gwajima ni kama mvua akiamua kunyesha ananyesha" - SUGU
 
Usiwe punguani yale maneno alikuwa anasema Gwajima ndiyo ibada? Uhuru wa kuabudu lazima uwe na mipaka. Unapanda kwenye Kanisa kisha unamtukana Tarimba huo ndiyo uhuru wa kuabudu😂
 
Serikali inayochukia dini ni serikali ya kishetani na kipepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…