Kanisa la KKKT limekuwa na migogoro mingi chini ya uongozi wa Askofu Shoo, Maaskofu waazimie kumuondoa

Kanisa la KKKT limekuwa na migogoro mingi chini ya uongozi wa Askofu Shoo, Maaskofu waazimie kumuondoa

Jibu mujarabu!
Konde Askofu kiburi anataka kudondoka na Shoo!
Wafuasi wake hawakauki kumpiga vijembe Shoo!

Siwafahamu wala siyo mkeikeitii ila ukisikiliza mjadala Mwaikali anajiona perfect Sana, huo ni Ugonjwa mbaya!
Perfect na huku ameshang'olewa? aanzishe kanisa lake la maturubai
 
Shoo hana tatizo... Shoo anasimamia msimamo wa imani. Dayosis ya Konde inaonekana wachungaji ambao ndio wajumbe wa mkutano mkuu wa Dayosis wameshindwa kusimamia Dayosis yao na hivyo kuleta mitafaruku na waumini wao.. Hakuna Mahal ambapo Shoo anaeza akahusika kwenye hizo hela zao na kubadilisha makao makuu.
Shoo anachukiwa kwa sababu ni mtu asienunulika kama Malasusa ambae amebadilisha katiba ya Dayosis ili awe askofu milele wakat ilikua ni vipind viwili tu vya miaka 5 mitano..
Malasusa anashutumiwa pia kwa kuwa karibu na serikali ili kutumia malengo yake..
Malasusa ana kashfa nyingi na matumizi mabaya ya rasilimali za DMP na hata za uchafu..
Huez mfananisha Shoo na hao watu wa mshahara kina Malasusa
Malasusa anahonga wachungaji wa DMP ili apitishe mirad yake daily.. mimi ninatokea kaskazini na kulingana na hizo mambo za Malasusa kanisa linakosa Dira na inaonekana wao kazi yao kukusanya sadaka 2


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom