Shoo hana tatizo... Shoo anasimamia msimamo wa imani. Dayosis ya Konde inaonekana wachungaji ambao ndio wajumbe wa mkutano mkuu wa Dayosis wameshindwa kusimamia Dayosis yao na hivyo kuleta mitafaruku na waumini wao.. Hakuna Mahal ambapo Shoo anaeza akahusika kwenye hizo hela zao na kubadilisha makao makuu.
Shoo anachukiwa kwa sababu ni mtu asienunulika kama Malasusa ambae amebadilisha katiba ya Dayosis ili awe askofu milele wakat ilikua ni vipind viwili tu vya miaka 5 mitano..
Malasusa anashutumiwa pia kwa kuwa karibu na serikali ili kutumia malengo yake..
Malasusa ana kashfa nyingi na matumizi mabaya ya rasilimali za DMP na hata za uchafu..
Huez mfananisha Shoo na hao watu wa mshahara kina Malasusa
Malasusa anahonga wachungaji wa DMP ili apitishe mirad yake daily.. mimi ninatokea kaskazini na kulingana na hizo mambo za Malasusa kanisa linakosa Dira na inaonekana wao kazi yao kukusanya sadaka 2