Kanisa la Mkunazini Zanzibar

Kanisa la Mkunazini Zanzibar

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kanisa hili lilijengwa na wamissionari wa kanisa la Anglikana katika barabara ya Mkunazini mwaka 1903. Uwanja uliojengewa kanisa ndipo shughuli nyingi za uuzaji wa watumwa zilipofanyika. Kujengwa kwa kanisa hili ilikua ni ishara au alama ya kukomeshwa kwa biashara ya utumwa.

Church.jpg

Since the end of the 15th century, the Portuguese took control of Zanzibar for almost two centuries. In 1698, it became part of the Oman Sultanate after the Portuguese were expelled and the trade of slaves, ivory and spice plantations developed in the island. The trade of slaves was the main activity and it commercially linked Europeans (who used slaves for plantations in the Indian Ocean) with African rulers.

By the 19th century, the Zanzibar Sultanate stood out for being the main slave market in Eastern Africa due to its strategic location in the Indian Ocean. It is estimated that between 1830 and 1873, around 600,000 people were sold as merchandise and thousands of other people visited the place temporarily.

Slavery business in the city was run by Europeans, Indians, Arabs and local leaders until its abolition in 1873. Zanzibar was an important center in the campaign against slavery led by the Scottish explorer David Livingstone and other activists during the second half of the 19th century that ended with the abolition of slavery.

In 1861, the country separated from the Oman Sultanate and became part of the British Empire until 1963, when it became independent as the Republic of Zanzibar and Pemba. As a consequence of what is known as the Revolution of Zanzibar, there were thousands of dead and expelled people due to the ethnic tensions between Arab and African communities.

Three months after the Revolution, in April 1964, the country joined the neighboring Republic of Tanganika and created the current United Republic of Tanzania.
 
Samahani naomba kuuliza hizi sehem kama Zanzibar & Bagamoyo Wakristo ni wachache sana na wakati makanisa ya kihistoria yameanzia uko? Nauliza nipate maarifa
 
Historia kama hizi huwezi kuzipata kwa yule mjukuu wa dully Sykes mzee wa kuhujumiwa.

#MaendeleoHayanaChama
Watawa wa Anglican walinunua watumwa waliokuwa sokoni na kuwapa Uhuru. Wengi hawakukumbuka walikotoka ila walifahamu walitoka Bara. Walirudishwa na kuanza makazi kwenye mission mpya za Anglican.
 
Asante kwa historia hii..
Kanisa Anglican Zanzibar lina historia iliyoneemeka
Tanga Zanzibar Bagamoyo Mtwara uzao mkubwa wa Kanisa Anglican
 
Ukilizungumzia hili kanisa bila kumtaja Edward Steere unakuwa unakosea pakubwa.. sababu yeye ndo alifanya design ya Jengo zima, hilo Jengo limeunganisha ujenzi wa tamaduni ya kiislamu na namfumo wa zamani wa ujenzi wa nchi za ulaya hususani Uingereza (Ndipo nyumbani Kwa waanglican)

Chini ya Hilo kanisa kuna upande wa kuingilia kuna maandaki(chamber) mbili ambazo ndipo watumwa walikuwa wanhufadhiwa kabla ya kusafirishwa.. panabewa ndogo mnoo lakini unaambiwa Kwa kipindi hicho ndipo watumwa waliwekwa humo nafasi yake huwezi hata kusimama bila kupinda mgongo.

Huyo bwana Edward Steere ndo inasemekana alikomesha biashara ya utumwa.. alikufa na kuzikwa ndani ya Hilo kanisa hapo mbele kwenye madhabahu Chini ni kaburi lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Namaliza Kwa kusema hawa jamaa Dini walituletea ili iwe rahisi kututawala.. haiwezekani kanisa liwe mahali ambapo ndo watumwa wanahifadhiwa kwaajili ya kwenda kuuzwa yani

Ni kama Tu anavyofanya Mwamposa sahivi..
 
Huyo bwana Edward Steere ndo inasemekana alikomesha biashara ya utumwa.. alikufa na kuzikwa ndani ya Hilo kanisa
Hapa umemtaja huyu bwana aliyejenga hili kanisa alikomesha biashara ya utumwa.

Namaliza Kwa kusema hawa jamaa Dini walituletea ili iwe rahisi kututawala.. haiwezekani kanisa liwe mahali ambapo ndo watumwa wanahifadhiwa kwaajili ya kwenda kuuzwa yani
Hapa unadai kanisa kutumika kuhifadhi watumwa.....huoni kama umejichanganya?
 
Kwenye Hilo kanisa Jengo jingine kuna recruitment portal.. hujawahi fika hapo nin?

Wenyewe wanadai baada ya Edward Steere kufika ndo alikomesha hiyo biashara.. wewe unaamini?
 
Mbona kuna wanaosema waingereza walikomesha biashara ya utumwa hapo Zenji kwa nguvu kwani ilikuwa jahazi likikamatwa limebeba watumwa litazamishwa na wamiliki wake kuchukuliwa hatua kali.
 
Hizo zilikuwa ni harakati za kundi moja kujisafisha..
 
B
Samahani naomba kuuliza hizi sehem kama Zanzibar & Bagamoyo Wakristo ni wachache sana na wakati makanisa ya kihistoria yameanzia uko? Nauliza nipate maarifa
BaGamoyo Kuna Wakristi wengi saana,na ndio wanautawala Mji!
 
Watawa wa Anglican walinunua watumwa waliokuwa sokoni na kuwapa Uhuru. Wengi hawakukumbuka walikotoka ila walifahamu walitoka Bara. Walirudishwa na kuanza makazi kwenye mission mpya za Anglican.
Kwa hiyo kanisa,lilishiriki biashara hii,kwa kununua watumwa.Japo waliwaachia huru,lakini manunuzi yalifanyika.Kwa maana biashara ni baina ya pande mbili ya muuzaji na mnunuzi,bila kujali kuwa mnunuzi ni mlaji wa mwisho,bado anahesabika alishiriki katika biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ilifanyika for a good course
 
Hapa umemtaja huyu bwana aliyejenga hili kanisa alikomesha biashara ya utumwa.

Hapa unadai kanisa kutumika kuhifadhi watumwa.....huoni kama umejichanganya?
Unalisifia kanisa kukomesha biashara ya utumwa ilhali biashara ya utumwa iliendelea kwa miaka mia tano na kanisa likiwepo na halikukemea. Biashara ya utumwa ilikomeshwa kwa sababu ubepari uliona haikuwa na manufaa yoyote.
 
Ukilizungumzia hili kanisa bila kumtaja Edward Steere unakuwa unakosea pakubwa.. sababu yeye ndo alifanya design ya Jengo zima, hilo Jengo limeunganisha ujenzi wa tamaduni ya kiislamu na namfumo wa zamani wa ujenzi wa nchi za ulaya hususani Uingereza (Ndipo nyumbani Kwa waanglican)

Chini ya Hilo kanisa kuna upande wa kuingilia kuna maandaki(chamber) mbili ambazo ndipo watumwa walikuwa wanhufadhiwa kabla ya kusafirishwa.. panabewa ndogo mnoo lakini unaambiwa Kwa kipindi hicho ndipo watumwa waliwekwa humo nafasi yake huwezi hata kusimama bila kupinda mgongo.

Huyo bwana Edward Steere ndo inasemekana alikomesha biashara ya utumwa.. alikufa na kuzikwa ndani ya Hilo kanisa hapo mbele kwenye madhabahu Chini ni kaburi lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Namaliza Kwa kusema hawa jamaa Dini walituletea ili iwe rahisi kututawala.. haiwezekani kanisa liwe mahali ambapo ndo watumwa wanahifadhiwa kwaajili ya kwenda kuuzwa yani

Ni kama Tu anavyofanya Mwamposa sahivi..
Kumbuka kwa Africa mashariki, Wazungu hawakufanya biashara ya Watumwa, waliofanya hiyo ni Waarabu; kwenye historia, tunasoma kwamba biashara ya utumwa kwa Africa, Wazungu waliifanya West Africa na sio huku so kwa mtazamo wangu; kwa kua biashara ya Watumwa huku East Africa ilifanywa na Waarabu na kihistoria pia, waliopiga marufu biashara hi ni Wazungu then Mzungu kujenga kanisa eneo ambalo mwarabu alikua anafugia binadamu wenzie ilikua ni kama kumpa UJUMBE kwamba wewe ni kiumbe katiri, ngoja nibadirishe hilo zizi la binadamu kua sehemu ya kuabudia.

Declaration; nimefika hapo kwenye hilo kanisa, nimesimuliwa na wenyeji wa hapo, nilikutana pia na mzee Ramadhani, huyu mzee Ramadhani nadhani ni miongoni mwa maaskofu wa kwanza kwanza wa Anglican Tanzania, anaishi hapo hapo, yeye wala hakua na story na mambo ya zamani, tuliongelea mambo mengine tu.
 
Kwa hiyo kanisa,lilishiriki biashara hii,kwa kununua watumwa.Japo waliwaachia huru,lakini manunuzi yalifanyika.Kwa maana biashara ni baina ya pande mbili ya muuzaji na mnunuzi,bila kujali kuwa mnunuzi ni mlaji wa mwisho,bado anahesabika alishiriki katika biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu rejea ulichosoma shuleni kuhusu biashara ya Watumwa Tanganyika; Wazungu hawakufanya hi, biashara ilifanywa na Mwarabu. Nadhani (kwa mtazamo wangu, based on history ) hao Wazungu walijenga kanisa mahali hapo ili kuwaonesha watu kua Waarabu sio wazuri. Lengo lilifikiwa au halikufikiwa, hicho ni kitu kingine.
 
Unalisifia kanisa kukomesha biashara ya utumwa ilhali biashara ya utumwa iliendelea kwa miaka mia tano na kanisa likiwepo na halikukemea. Biashara ya utumwa ilikomeshwa kwa sababu ubepari uliona haikuwa na manufaa yoyote.
Nakazia baada ya ugunduzi wa viwanda watumwa hawakuwa wanahitajika tena.
 
Back
Top Bottom