MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 255
Kuna siku vyombo vya habari vililipoti uwepo wa kiwanda cha kutengeneza mabomu nchini,na Zitto akasema wakati fulani kuwa kuna member wa m23 wanamaskani dar (kama nakosea nirekebishwe).
Kwasasa nakaa kimya mpaka nipate taarifa rasmi za nini hasa hicho kilichorushwa lakini niwaambie tu watanzania wenzangu kuwa tusianze kushutumiana na kutengeneza mgawanyiko, si kila mtu anapenda kutuona tunaishi bila vita hasa ukanda huu ambao tumezungukwa na nchi asilimia kubwa zinamachaguko au zimeshuhudia machafuko kipindi si kirefu.
Serikali ya ccm iache kulala nchi inaelekea siko kabisa.