MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 255
Hebu soma vizuri hapo kwenye red kisha leta mawazo yako kwa mara ya pili tuyapime. Acha mambo yako yakiccm.
Kichwa cha habari cha uongo lile siyo bomu kwa nini unapenda uongo huna aibu?
ccm ni janga la taifa
Wameshindwa kujenga maeneo yao ya maana ya kusali sasa wanachuki na maeneo ya wenzao!
Sidhani kama tutafika nadhani hiyo itakua ndoto . Wamehadaaa watu wee kwa itikadi za kidini wakafaulu. Sasa sijui tumlaumu nani maana waliotuweka kwenye hali hii wao wako salama wanalindwa 24/7. Tanzania inahitaji kiongozi shupavu atakae weza kutuunganisha na kutufanya wamoja. Tena kiongozi huyo hatakiwi kuyumbishwa na kundi lolote nchini, anatakiwa kuyareduce to zero makundi yoyote yatakayoonekana hatarishi kwa amani yetu. Sasa mtu huyo mkuu tutampata leo kweli.Kwa mwendo huu TZ itafika tuliko kusudia?