Kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa Waumini hakuna kusali,Lissu gerezani hakuna kuabudu ?

Kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa Waumini hakuna kusali,Lissu gerezani hakuna kuabudu ?

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Heshima sana wanajamvi.

Najiuliza kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa waumini wake hawana fursa ya kuabudu.

Kanisa la Askofu Mwanamapinduzi limefungwa hakuna kuabudu.

Lissu gerezani hakuna kuabudu !

Je hii imekaaje ?.

Ngongo kwasasa Ukonga.
 
hilo kanisa halijafungwa, LIMEFUTWA KWENYE USAJILI KABISA, ndio maana ukienda kusali, wanaona umekusanyika kinyume na sheria kwa sababu wamelifuta kabisa ni kama halipo. watu woote hao wamenyimwa haki ya kuabudu, imagine!
 
Mnapoambiwa kutii sheria bila shuruti muwe mnaelewa kunaepusha mambo mengi
 
hilo kanisa halijafungwa, LIMEFUTWA KWENYE USAJILI KABISA, ndio maana ukienda kusali, wanaona umekusanyika kinyume na sheria kwa sababu wamelifuta kabisa ni kama halipo. watu woote hao wamenyimwa haki ya kuabudu, imagine!
Waende kuabudu makanisa mengine mbona yako kibao
 
Waende kuabudu makanisa mengine mbona yako kibao
Mimi ni muumini wa Kanisa ⛪️ Ufufuo na Uzima siwezi kwenda kusali Catholic au Lutheran haki yangu ya kuabudu imesitishwa.
 
Wenye majini,


Kuabudu kwa kumtaja Yesu, husababbisha mmajini yawakabe na kuwatesa.

Sasa vita hii SI ya my mwilini, ni ya Roho.

Baada ya kuona uganga haitoshi kuwapa mdaraka 2025, shetani amekuja mzima mzima kuzuia ibada Ili apate ushindi.


Hili nalo ameshindwa maana ibada ni Katika hekalu ambalo ni mwili wako.
 
Heshima sana wanajamvi.

Najiuliza kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa waumini wake hawana fursa ya kuabudu.

Kanisa la Askofu Mwanamapinduzi limefungwa hakuna kuabudu.

Lissu gerezani hakuna kuabudu !

Je hii imekaaje ?.

Ngongo kwasasa Ukonga.
Mambo yamevurugana
 
Back
Top Bottom