Kanisa la Ufufuo na Uzima watangaza Kesho hakuna ibada katika makanisa yao yote ya Tanzania

Kanisa la Ufufuo na Uzima watangaza Kesho hakuna ibada katika makanisa yao yote ya Tanzania

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
1. Hakutakuwepo na ibada ktk makanisa yote ya GCTC ya Tanzania kesho J'pili tarehe 8/6/2025

2. Wakristo na waumini wote wa makanisa hayo, wafanyie ibada zao nyumbani mpaka itakapotolewa taarifa nyingine

3. Sakramenti zote zilizokuwa zifanyike kesho mfano ufungaji wa ndoa, ubatizo, kubariki ndoa na watoto nk zimeahirishwa hadi itakapotangazwa tena

4. Kwa makanisa yote yaliyo nje ya nchi ya Tanzania, waendelee na Utaratibu wa ibada zao kama kawaida

Soma Pia: Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
================================================
Andiko la faraja kwa wakristo wote ni kutoka



1 Kor 15:58 SUV
"......Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mwajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana..."
​
 
🎶🎺Paparaparira🎼parira pa parira papa
Perepeperire 🎵pepe rire pepe
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba 🎵Oooooooh🎼
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba🎵🎼 Oooooooh
Totototooh totototooh🎶🎺
Totototooh 🎵🎼totototooh
Tatatatataah tatatatataah
Totototooh 🎼🎵totototooh
 
🎶🎺Paparaparira🎼parira pa parira papa
Perepeperire 🎵pepe rire pepe
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba 🎵Oooooooh🎼
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba🎵🎼 Oooooooh
Totototooh totototooh🎶🎺
Totototooh 🎵🎼totototooh
Tatatatataah tatatatataah
Totototooh 🎼🎵totototo

🎶🎺Paparaparira🎼parira pa parira papa
Perepeperire 🎵pepe rire pepe
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba 🎵Oooooooh🎼
Ameyatimba Aaaaaaaaah
Ameyatimba🎵🎼 Oooooooh
Totototooh totototooh🎶🎺
Totototooh 🎵🎼totototooh
Tatatatataah tatatatataah
Totototooh 🎼🎵totototooh
Inaumiza sana, lakini Mungu anaona huu unyanyasaji wa makusudi kabisa kwa hao waumini wasiokua na hatia yoyote. Gadhabu ya Mungu ikishuka hakuna atakayeweza Kuikwepa. Tuzidi kuomba
No Reforms, No elections.
 
mimi sijaona kosa la waumini wa gwajima kuadhibiwa kwa sababu gwajima mmoja tu amekemea utekaji na mauaji. kosa la gwajima lipo wapi? basi tuseme amekosea, sasa kosa la waumini wake liko wapi hadi wazuiwe kufanya haki yao ya kikatiba ya kuabudu? muumini aliyepo mwanza, anazuiwa kuabudu ambayo ni haki ya kikatiba, yeye hajahubiri siasa wala chochote, anaadhibiwa kwa kosa lipi sasa? kwanini tunaatack makanisa na sio watu ambao nao lazima wapelekwe kwenye vyombo vya sheria?

1. gwajima kabla ya kuadhibiwa alipewa haki ya kusikilizwa?

2. ufufuo na uzima kabla ya kufutwa usajili walipewa haki ya kusikilizwa?'

3. kukemea utekaji na uuaji ni kosa?

4. Je? Tanzania hakuna watu wanatekwa na kuuawa?

5. Mdude, soka, kibao, na wengine wengi, hawajatekwa na kuuawa wengine?

mwenye jibu aniambie.
 
Back
Top Bottom