Kanisa la Ufufuo na Uzima watangaza Kesho hakuna ibada katika makanisa yao yote ya Tanzania

Kabla ya gwajiboy hajapata wazo la biashara kichwani, hili kanisa halikuwepo na halijawahi kuwepo nchini
Kwahiyo hii ni biashara yake binafsi na sio dhehebu la dini
Hilio sio kanisa bali ni goli lake na lilikuwa na mawinga kibao wa kukusanya nyumbu zijae na kutoa michango
Huyu tapeli kayatimba....
 
Deep down nikajua Yale ya Kenya yanaanza hapa ufufuo na uzima .Kwa mbali niliwaona wafuasi WA Gwajima wakitanda barabarani wakidai haki yao ya msingi ya kikatiba . Freedom of worship.


So sad .
 
Kama viongozi wa juu wangekuwa na uwezo wa kusikiliza maneno ya watanzania mitaani wangejua kuwa watanzania hawana furaha na baadhi ya mambo na wangeona umuhimu wa kukaa na kuzungumza.
 
Ni huzuni sana

Lakini huyu mama Samia atalipwa na atapigwa mda siyo mrefu

YESU yupo
 
We kama unabisha kesho nenda kwenye hilo kanisa tukuone unauchungu na ibada za kuabudu mizimu ya wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…