HahahaaaWasabato pekee ninao wakubaliView attachment 3438205
Vielezee acha blaa blah za Kuchafua kanisa! Mbona mleta mada kaelezea Kwa mifano na vielelezoHakuna Kanisa lakinafiki kama kanisa langu la Wasabato..Yaaani hata hapa Kanisa mahalia nisalipo kunaviroja vingi sana.
😭Hushangai Malekana na Lekundayo wanampapatikia nakumkumbatia Masaju huyu mwenye wake wawili.😂😂😂😂❌
Muelezwe kwani hamjui kanuni ya kanisa inasemaje?Vielezee acha blaa blah za Kuchafua kanisa! Mbona mleta mada kaelezea Kwa mifano na vielelezo
Mbona sijakuona ukicheka. Kila dini/dhehebu lina mambo yake unique na huna budi kuyaheshimu. Dini zenyewe tumeletewa tu.Usabato unachekesha sanaa
Umesahau hata wewe umejipa jina cacutee linalokatazwa kisabatoMuelezwe kwani hamjui kanuni ya kanisa inasemaje?
Mna moto wenu special jehanamu
Kujiita Ka cuteSasa kosa langu ni nini?
Wanataka pesa tu.Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika.
Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k
Mara kadhaa Mh. Wassira ameonekana kwenye majukwaa ya kisiasa siku ya Sabato lakini hakuna hatua yoyote iliyowahi kuchukuliwa dhidi yake na anaheshimika sana usabatoni.
Vijana wanaojichanganya kufanya kama wasira huchukuliwa hatua kali na kufutwa ushirika, na hulazimika kubatizwa upya ili kurudi kundini ila viongozi hawamwoni mzee Wassira.
Acheni hizo, huyu ni muumini wenu, ongeene naye. Pia ongeeni na Mafwele mwenye kashfa za utekaji maana nayeye anavunja kifungu namba 2, Ongeeni na Dr. Ryoba wa TBC nayeye anavunja hicho kifungu. Acheni kukimbizana na vijana wasio na pesa pekee.
View attachment 3436720
Achana na mambo ya mdogo kama hayo. Tafuta hela mangi. Hela inajua inasafisha hadi dhambi za makusudi.Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika.
Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k
Mara kadhaa Mh. Wassira ameonekana kwenye majukwaa ya kisiasa siku ya Sabato lakini hakuna hatua yoyote iliyowahi kuchukuliwa dhidi yake na anaheshimika sana usabatoni.
Vijana wanaojichanganya kufanya kama wasira huchukuliwa hatua kali na kufutwa ushirika, na hulazimika kubatizwa upya ili kurudi kundini ila viongozi hawamwoni mzee Wassira.
Acheni hizo, huyu ni muumini wenu, ongeene naye. Pia ongeeni na Mafwele mwenye kashfa za utekaji maana nayeye anavunja kifungu namba 2, Ongeeni na Dr. Ryoba wa TBC nayeye anavunja hicho kifungu. Acheni kukimbizana na vijana wasio na pesa pekee.
View attachment 3436720
🤣🤣Kujiita Ka cute
Boss wapi hiyoHadi wafanyakzi wa idara za uchapaji nimeona wameanza kuwaexpose wachungaji ..nimeona global🙌
Unataka kusema wale wachangiaji wakuu ' Development Donors'Dini maslahi hawawezi kumpoteza muumini wao anayewachangia mamilioni
Cheki globaltv kuna mdada mmoja namjua anaitwa grace mwaipopo. Nimeshangaa namuona jana global tv analia🙌Boss wapi hiyo