Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika.
Jambo la 2 katika orodha hiyo ni kuvunja sheria ya Mungu kwa kujihusisha na ibada ya sanamu, mauaji, KUVUNJA SABATO n.k
Mara kadhaa Mh. Wassira ameonekana kwenye majukwaa ya kisiasa siku ya Sabato lakini hakuna hatua yoyote iliyowahi kuchukuliwa dhidi yake na anaheshimika sana usabatoni.
Vijana wanaojichanganya kufanya kama wasira huchukuliwa hatua kali na kufutwa ushirika, na hulazimika kubatizwa upya ili kurudi kundini ila viongozi hawamwoni mzee Wassira.
Acheni hizo, huyu ni muumini wenu, ongeene naye. Pia ongeeni na Mafwele mwenye kashfa za utekaji maana nayeye anavunja kifungu namba 2, Ongeeni na Dr. Ryoba wa TBC nayeye anavunja hicho kifungu. Acheni kukimbizana na vijana wasio na pesa pekee.