Kanisa la Waadventista wa Sabato Linaogopa Kumchukulia Hatua Mzee Wassira

Mkuu umenikumbusha JAMAA MmOJA KAZINI. ALIKUA msabato kwa KWELI ILIKUA komedi YEYE na kupumzika hahahah.


Kwishaaaaa
 
Wanataka pesa tu.

Hawana kitu cha kumfanya
 
Mchakato wa kumtenga mtu na ushirika kihalali ni mgumu sana kama Kila kifungu kikifuatwa. Kimsingi huwezi KUWA msabato kindakindaki hapohapo ukawa Mwanasiasa labda uwe mtumishi wa Umma. Wenye hekima huwa wanaomba wenyewe wafutwe
 
Hadi wafanyakzi wa idara za uchapaji nimeona wameanza kuwaexpose wachungaji ..nimeona global🙌
 
Achana na mambo ya mdogo kama hayo. Tafuta hela mangi. Hela inajua inasafisha hadi dhambi za makusudi.
 
Dini maslahi hawawezi kumpoteza muumini wao anayewachangia mamilioni
Unataka kusema wale wachangiaji wakuu ' Development Donors'
ya Kanisa kama akina Dr Jimmy Onaz wana viti, vyao vya kukaa Kanisani and are treated differently? Oh My!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…