Kanisa lamshinda Mc Pilipili

Kanisa lamshinda Mc Pilipili

Hivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....

"Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee."

Anaendelea kufunguka Mc..

"Pale tulipokuwa tunakutana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada hatukutani tena na badala yake nimebuni njia mpya ya kuhudumia watu kwa kutumia mitandao ya kijamii."

Kuhusu kuonekana akila bata club baba mchungaji amefunguka....

"Maneno yamekuwa mengi mimi kuonekana Club Element kwenye tukio la Haji Manara, kiukweli mimi nilienda pale kumsapot Manara na sikuangalia kama nipo club, biblia yenyewe haijatukataza kwenda club na kama Biblia ingekataza basi watu wasingekwenda hata Super Dome kufanya shughuli zao huko ".

Kuhusu kugombana na mke wake, baba mchungaji amefunguka....

" Ni kweli nimegombana na mke wangu na chanzo cha kugombana na mke wangu sio kuzaa na mwanaume mwingine kama watu wanavyosema, bali tumepishana kwa mambo yetu mengine na tunazungumza ili kuyamaliza".

Wana familia wa love church tujuane hapa tafadhari View attachment 2881414
Huyu dogo amechanganyikiwa aseee

Cc Gily Gru
 
Bado hajasema
 
Ila Wakristo,,,,, ila Wacha watupige kama ngoma tu maana njia ya mkato sasa ya kupiga pesa ni kufungua Kanisa. Sasa tujiulize kama dhamira ilikuwa ni kuhubiri injili nini kimemshinda kama sio kukosekana Kwa maokoto kanisani
 
Hivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....

"Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee."

Anaendelea kufunguka Mc..

"Pale tulipokuwa tunakutana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada hatukutani tena na badala yake nimebuni njia mpya ya kuhudumia watu kwa kutumia mitandao ya kijamii."

Kuhusu kuonekana akila bata club baba mchungaji amefunguka....

"Maneno yamekuwa mengi mimi kuonekana Club Element kwenye tukio la Haji Manara, kiukweli mimi nilienda pale kumsapot Manara na sikuangalia kama nipo club, biblia yenyewe haijatukataza kwenda club na kama Biblia ingekataza basi watu wasingekwenda hata Super Dome kufanya shughuli zao huko ".

Kuhusu kugombana na mke wake, baba mchungaji amefunguka....

" Ni kweli nimegombana na mke wangu na chanzo cha kugombana na mke wangu sio kuzaa na mwanaume mwingine kama watu wanavyosema, bali tumepishana kwa mambo yetu mengine na tunazungumza ili kuyamaliza".

Wana familia wa love church tujuane hapa tafadhari View attachment 2881414
Asee
 
Jamaa awacheki watu wake wa karibu, anaonekana hayuko sawa kiakili pamoja na uchumi. Wale akina Kapola, Mwamposa na Masanja ndiyo wakati wakumsaidia mtumishi mwenzao.

Na kama kaona utumishi umemshinda kabisa, apewe mtaji afanye mambo mengine. Niliona Kapola amempa mchekeshaji gari, mwamposa katoa pikipiki 40 Arusha, wamsaidie kijana. Iko wazi kabisa hayuo sawa. Wanashindwa kuwaidia waumini wao, wasaidie hata mtumishi mwenzao.
 
Aseme biashara imemshinda
Tu!
Alafu wale wote waliyokuwa wanaenda kwenye kanisa lake
Wpmbv tu

Ova
 
Back
Top Bottom