Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa lo
Huyu dogo amechanganyikiwa aseeeHivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....
"Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee."
Anaendelea kufunguka Mc..
"Pale tulipokuwa tunakutana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada hatukutani tena na badala yake nimebuni njia mpya ya kuhudumia watu kwa kutumia mitandao ya kijamii."
Kuhusu kuonekana akila bata club baba mchungaji amefunguka....
"Maneno yamekuwa mengi mimi kuonekana Club Element kwenye tukio la Haji Manara, kiukweli mimi nilienda pale kumsapot Manara na sikuangalia kama nipo club, biblia yenyewe haijatukataza kwenda club na kama Biblia ingekataza basi watu wasingekwenda hata Super Dome kufanya shughuli zao huko ".
Kuhusu kugombana na mke wake, baba mchungaji amefunguka....
" Ni kweli nimegombana na mke wangu na chanzo cha kugombana na mke wangu sio kuzaa na mwanaume mwingine kama watu wanavyosema, bali tumepishana kwa mambo yetu mengine na tunazungumza ili kuyamaliza".
Wana familia wa love church tujuane hapa tafadhari View attachment 2881414
Ww mshenzi unayafukua aseeHa ha ha ..huyu dogo bhana
HahahaSema huyu mgogo ni mshamba wa mapenzi kama masanja na wote wamepigwa matukio
Hahahakondoo hawatoi sadakaaa
Bado hajasemaHivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....
"Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee."
Anaendelea kufunguka Mc..
"Pale tulipokuwa tunakutana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada hatukutani tena na badala yake nimebuni njia mpya ya kuhudumia watu kwa kutumia mitandao ya kijamii."
Kuhusu kuonekana akila bata club baba mchungaji amefunguka....
"Maneno yamekuwa mengi mimi kuonekana Club Element kwenye tukio la Haji Manara, kiukweli mimi nilienda pale kumsapot Manara na sikuangalia kama nipo club, biblia yenyewe haijatukataza kwenda club na kama Biblia ingekataza basi watu wasingekwenda hata Super Dome kufanya shughuli zao huko ".
Kuhusu kugombana na mke wake, baba mchungaji amefunguka....
" Ni kweli nimegombana na mke wangu na chanzo cha kugombana na mke wangu sio kuzaa na mwanaume mwingine kama watu wanavyosema, bali tumepishana kwa mambo yetu mengine na tunazungumza ili kuyamaliza".
Wana familia wa love church tujuane hapa tafadhari View attachment 2881414
HahahahaaaawHa ha ha ..huyu dogo bhana
😂😂😂Yeye na nick wote washamba wa mapenzi ngoja wakione
Niwaheri inamaana wewe upo rightYeye na nick wote washamba wa mapenzi ngoja wakione
AseeHivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....