Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #41
Hata sasa ni mchungaji ila ni wa mtandaoni tu.Kumbe huyu alikuwa mchungaji!!
Huyu kijana kachanganyikiwa baada ya migogoro na mke wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sasa ni mchungaji ila ni wa mtandaoni tu.Kumbe huyu alikuwa mchungaji!!
Huyu kijana kachanganyikiwa baada ya migogoro na mke wake.
Inasemekana kuna mjuba mmoja wa hapo kanisani alipita na mkewe na kumkula kimasihara.kwani mkewe kampigaa tukio tena???
Sasa kwa nini hamkumstua baba mchungaji mapema?Wengine tulijua tu hili penzi haliendi mbali Kwa Sisi ambao tunamjua yule demu
Hamna mchungaji hapoHata sasa ni mchungaji ila ni wa mtandaoni tu.
SawaHamna mchungaji hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waumini walikuwa hawatoi sadaka za kutosha kuendesha kanisa[emoji23][emoji23][emoji23].
Ulipe kodi ya eneo, ulipe umeme, maji, wapiga vyombo, fanya masihara nini..[emoji23]
Hapo unaanzaje kukataa Pombe za Ofa kwa tukio la Mzungu?kufulia kubaya sana, wife anasepa, kanisa linasepa,,,,,,,,,,,
Na aligida hizo pombe za dezo 😁Hapo unaanzaje kukataa Pombe za Ofa kwa tukio la Mzungu?
Ni pipa na mfuniko
Daaa ndo akawa amevaa miwani (amelewa) vile eti anaimba Bora niinjoy purupupupupururuu Yuko na mzungu wa dullah na diamond.... Hawa wanachezeaga dini, hakunaga aposto Wala nabiiHivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....
"Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee."
Anaendelea kufunguka Mc..
"Pale tulipokuwa tunakutana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada hatukutani tena na badala yake nimebuni njia mpya ya kuhudumia watu kwa kutumia mitandao ya kijamii."
Kuhusu kuonekana akila bata club baba mchungaji amefunguka....
"Maneno yamekuwa mengi mimi kuonekana Club Element kwenye tukio la Haji Manara, kiukweli mimi nilienda pale kumsapot Manara na sikuangalia kama nipo club, biblia yenyewe haijatukataza kwenda club na kama Biblia ingekataza basi watu wasingekwenda hata Super Dome kufanya shughuli zao huko ".
Kuhusu kugombana na mke wake, baba mchungaji amefunguka....
" Ni kweli nimegombana na mke wangu na chanzo cha kugombana na mke wangu sio kuzaa na mwanaume mwingine kama watu wanavyosema, bali tumepishana kwa mambo yetu mengine na tunazungumza ili kuyamaliza".
Wana familia wa love church tujuane hapa tafadhari View attachment 2881414
Watu wameshastukia mazingaombwe yao. Mchujo lazima uwepo fake na halisi wajulikane.Tatizo alikuwa hafanyi “miujiza”😂😂😂 awaulize wenzake.
Masanja na Mc pilipili ni pipa na mfuniko wote ni wa kugegedewa wake zao