Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Hamjambo wana jf,
Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu.
Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya.
1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo?
Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu mbona tunaokusanyika sio watakatofu?
2. Mwili ni hekalu la roho mtakatifu kivipi?/mbna mwili tena ni kiongozi wa dhambi?
3. Madhabahu ni utayari wa moyo wako kivipi? Na kanisani kuna madhabahu tena na huku mnasema kanisa ni mtu?
4. Swali la nne nimekuwa kuwa na mashaka sana ya kwenda kanisani kutokana na sioni hao kusanyiko la watakatifu ila kila jumapili kanisa linatumika kama viwanda vya kutolea mapepo.
Je kuna umuhimu gani wa mimi kwenda kanisani ? Maaana haya makanisa yananipa mashaka mno !!hakuna lenye afaddhali .
Je ni kisimamia andiko hili nitakosea?