Kanisa ni wapi?

Kanisa ni wapi?

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Hamjambo wana jf,

Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu.

Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya.

1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo?

Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu mbona tunaokusanyika sio watakatofu?

2. Mwili ni hekalu la roho mtakatifu kivipi?/mbna mwili tena ni kiongozi wa dhambi?

3. Madhabahu ni utayari wa moyo wako kivipi? Na kanisani kuna madhabahu tena na huku mnasema kanisa ni mtu?

4. Swali la nne nimekuwa kuwa na mashaka sana ya kwenda kanisani kutokana na sioni hao kusanyiko la watakatifu ila kila jumapili kanisa linatumika kama viwanda vya kutolea mapepo.

Screenshot_20240417-192158_Chrome.jpg

Je kuna umuhimu gani wa mimi kwenda kanisani ? Maaana haya makanisa yananipa mashaka mno !!hakuna lenye afaddhali .
Je ni kisimamia andiko hili nitakosea?

Screenshot_20240417-192437_Chrome.jpg
 
Nahitaji majibu haraka ya kimaandiko kabla ya maamuzi magumu??
 
Hamjambo wana jf,
Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu .
Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya.
1.kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo ?
Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu mbona tunaokusanyika sio watakatofu?

2.mwili ni hekalu la roho mtakatifu kivipi?/mbna mwili tena ni kiongozi wa dhambi?

3. Madhabahu ni utayari wa moyo wako kivipi? Na kanisani kuna madhabahu tena na huku mnasema kanisa ni mtu?

4. Swali la nne nimekuwa kuwa na mashaka sana ya kwenda kanisani kutokana na sioni hao kusanyiko la watakatifu ila kila jumapili kanisa linatumika kama viwanda vya kutolea mapepo. View attachment 2966653

Je kuna umuhimu gani wa mimi kwenda kanisani ? Maaana haya makanisa yananipa mashaka mno !!hakuna lenye afaddhali .
Je ni kisimamia andiko hili nitakosea?

View attachment 2966657
ukitambua ya kwamba uanishi katika ufalme wa Nuru ama Giza ni swali jepesi sana, unless unanishi kwenye falme zote na kwa hivyo mashaka yametanda :NoGodNo:
 
Hapana na mashaka ya kanisa sijui ni wapi? Naomba unijibu?
 
Hamjambo wana jf,

Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu.

Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya.

1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo?

Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu mbona tunaokusanyika sio watakatofu?

2. Mwili ni hekalu la roho mtakatifu kivipi?/mbna mwili tena ni kiongozi wa dhambi?

3. Madhabahu ni utayari wa moyo wako kivipi? Na kanisani kuna madhabahu tena na huku mnasema kanisa ni mtu?

4. Swali la nne nimekuwa kuwa na mashaka sana ya kwenda kanisani kutokana na sioni hao kusanyiko la watakatifu ila kila jumapili kanisa linatumika kama viwanda vya kutolea mapepo.

View attachment 2966653

Je kuna umuhimu gani wa mimi kwenda kanisani ? Maaana haya makanisa yananipa mashaka mno !!hakuna lenye afaddhali .
Je ni kisimamia andiko hili nitakosea?

View attachment 2966657
Umeshau kuweka na ule mstar unaosema kuwa msiache kukutana kila wakat maadamu..............
 
Tumsifu Yesu Kristu...
1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo?
Kanisa lina maana nyingi:
  • Watu wa Mungu
  • Mahali watu hukutana kumuabudu Mungu
Katika maana ya watu wa Mungu; Mama Kanisa anafundisha kuna aina mbili za Kanisa:
  • Kanisa la wasafiri (mimi na wewe tunaoishi hapa duniani)
  • Kanisa la washindi (watakatifu - waliokufa katika hali ya neema ya utakaso, wapo mbinguni)

Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu mbona tunaokusanyika sio watakatofu?
Kama nilivyoeleza hapo juu; maana nyingine ya Kanisa ni mahali ambapo watu hukusanyika ili kumwabudu Mungu.

Ipo hivi: sala ni maongezi kati ya Mungu na mwanadamu; ambapo mwanadamu humuomba, kumsifu, kumtukuza na kumshukuru Mungu.

Sala zipo za aina mbili:
  • Binafsi
  • Jumuiya
Sala zinakuwa binafsi zinapohusisha mtu mmoja, na za jumuiya zinapohusisha zaidi ya mtu mmoja.

Kwa kadiri ya mapokeo kutoka kwa mitume ambao walikutana sehemu maalum kusali (Rejea Matendo ya Mitume 2:46, 3:1); nasi hukutana sehemu maalum kwa ajili ya sala za jumuiya. Maeneo haya tunayaita Kanisa.

Kanisani tunakutana wote: wema ili tusaidiane kuendelea kuwa wema, na waovu ili tusaidiane kuacha njia zetu ovu, tumgeukie Mungu tuweze kuufikia utakatifu baada ya maisha yetu hapa duniani.

Kristu hakuja kwa ajili ya wema maana tayari wameshaokolewa bali alikuja kwa ajili ya waovu ili wapate kutubu, kubadili mienendo yao miovu waweze kuokolewa (Rejea Luka 5:32). Vivyo hivyo kwa uwepo wa Kanisa.

Mwili ni hekalu la roho mtakatifu kivipi?/mbna mwili tena ni kiongozi wa dhambi?
Tunapokuwa wema, miili yetu inakuwa kwenye hali ya neema ya utakaso naye Roho Mtakatifu hukaa ndani mwetu; tunapoamua kuwa waovu tunapoteza neema hiyo, hivyo Mungu huondoka kwetu kwa kuwa hawezi kuchangamana na dhambi.

4. Swali la nne nimekuwa kuwa na mashaka sana ya kwenda kanisani kutokana na sioni hao kusanyiko la watakatifu ila kila jumapili kanisa linatumika kama viwanda vya kutolea mapepo.
Kazi ya msingi ya Kanisa ni kumuabudu Mungu na kutangaza habari njema ya Injili - kiini cha wokovu wetu. Mapepo yatolewe lakini hiyo siyo kazi ya msingi (primary mission) ya Kanisa.

Je kuna umuhimu gani wa mimi kwenda kanisani ? Maaana haya makanisa yananipa mashaka mno !!hakuna lenye afaddhali .
Je ni kisimamia andiko hili nitakosea?
  • Unapaswa kuhudhuria na kushiriki ipasavyo Kanisani kwa kuwa ni amri ya Mungu na Kanisa
  • Ili uweze kushiriki kumwabudu Kristu katika umoja wetu
  • Ili uweze kushiriki kueneza habari njema ya Kristu
  • Ili uweze kushiriki masakramenti ya Kanisa
  • N.k.
 
Tumsifu Yesu Kristu...

Kanisa lina maana nyingi:
  • Watu wa Mungu
  • Mahali watu hukutana kumuabudu Mungu
Katika maana ya watu wa Mungu; Mama Kanisa anafundisha kuna aina mbili za Kanisa:
  • Kanisa la wasafiri (mimi na wewe tunaoishi hapa duniani)
  • Kanisa la washindi (watakatifu - waliokufa katika hali ya neema ya utakaso, wapo mbinguni)

Kama nilipoeleza hapo juu; maana nyingine ya Kanisa ni mahali ambapo watu hukusanyika ili kumwabudu Mungu.

Ipo hivi: sala ni maongezi kati ya Mungu na mwanadamu ambapo mwanadamu humuomba, kumsifu, kumtukuza na kumshukuru Mungu.

Sala zipo za aina mbili:
  • Binafsi
  • Jumuiya
Sala zinakuwa binafsi zinapohusisha mtu mmoja, zinakuwa za jumuiya zinapohusisha mtu zaidi ya mmoja.

Kwa kadiri ya mapokeo kutoka kwa mitume ambao walikutana sehemu maalum kusali (Rejea Matendo ya Mituma 2:46, 3:1); nasi hukutana sehemu maalum kwa ajili ya sala za jumuiya. Maeneo haya tunayaita Kanisa.

Kanisani tunakutana wote: wema ili tuendelee kusaidiana kuwa wema na waovu ili kusaidiana kuacha njia zetu ovu tuweze kuufikia utakatifu baada ya maisha yetu hapa duniani.

Kristu hakuja kwa ajili ya wema maana tayari wameshaokolewa bali alikuja kwa ajili ya waovu ili wapate kuokolewa. Vivyo hivyo kwa uwepo wa Kanisa.

Tunapokuwa wema, miili yetu inakiwa kwenye hali ya neema ya utakaso naye Roho Mtakatifu hukaa ndani mwetu; tunapoamua kuwa waovu tunapoteza neema hiyo hivyo Mungu huondoka kwetu kwa kuwa hawezi kuchangamana na dhambi.

Kazi ya msingi ya Kanisa ni kumuabudu Mungu na kutangaza habari njema ya Injili - kiini cha wokovu wetu. Mapepo yatolewe lakini hiyo siyo kazi ya msingi (primary responsibility) ya Kanisa.

Samahani nimependa maelezo yako
Ila ningeomba utumie maandiko kwa sababu ya kimapokeo
 
Tumsifu Yesu Kristu...

Kanisa lina maana nyingi:
  • Watu wa Mungu
  • Mahali watu hukutana kumuabudu Mungu
Katika maana ya watu wa Mungu; Mama Kanisa anafundisha kuna aina mbili za Kanisa:
  • Kanisa la wasafiri (mimi na wewe tunaoishi hapa duniani)
  • Kanisa la washindi (watakatifu - waliokufa katika hali ya neema ya utakaso, wapo mbinguni)

Kama nilivyoeleza hapo juu; maana nyingine ya Kanisa ni mahali ambapo watu hukusanyika ili kumwabudu Mungu.

Ipo hivi: sala ni maongezi kati ya Mungu na mwanadamu; ambapo mwanadamu humuomba, kumsifu, kumtukuza na kumshukuru Mungu.

Sala zipo za aina mbili:
  • Binafsi
  • Jumuiya
Sala zinakuwa binafsi zinapohusisha mtu mmoja, na za jumuiya zinapohusisha zaidi ya mtu mmoja.

Kwa kadiri ya mapokeo kutoka kwa mitume ambao walikutana sehemu maalum kusali (Rejea Matendo ya Mitume 2:46, 3:1); nasi hukutana sehemu maalum kwa ajili ya sala za jumuiya. Maeneo haya tunayaita Kanisa.

Kanisani tunakutana wote: wema ili tusaidiane kuendelea kuwa wema, na waovu ili tusaidiane kuacha njia zetu ovu, tumgeukie Mungu tuweze kuufikia utakatifu baada ya maisha yetu hapa duniani.

Kristu hakuja kwa ajili ya wema maana tayari wameshaokolewa bali alikuja kwa ajili ya waovu ili wapate kutubu, kubadili mienendo yao miovu waweze kuokolewa (Rejea Luka 5:32). Vivyo hivyo kwa uwepo wa Kanisa.

Tunapokuwa wema, miili yetu inakuwa kwenye hali ya neema ya utakaso naye Roho Mtakatifu hukaa ndani mwetu; tunapoamua kuwa waovu tunapoteza neema hiyo, hivyo Mungu huondoka kwetu kwa kuwa hawezi kuchangamana na dhambi.

Kazi ya msingi ya Kanisa ni kumuabudu Mungu na kutangaza habari njema ya Injili - kiini cha wokovu wetu. Mapepo yatolewe lakini hiyo siyo kazi ya msingi (primary mission) ya Kanisa.

  • Unapaswa kuhudhuria na kushiriki ipasavyo Kanisani kwa kuwa ni amri ya Mungu na Kanisa
  • Ili uweze kushiriki kumwabudu Kristu katika umoja wetu
  • Ili uweze kushiriki kueneza habari njema ya Kristu
  • Ili uweze kushiriki masakramenti ya Kanisa
  • N.k.
1.kanisa ni mimi na wewe ? (Ama ni mkusanyiko wawatakatifu?)
Na nikiwa mimi tu?
 
Screenshot_20240417-192437_Chrome.jpg

Watu wanaabudu katika roho na kweli na wewe unasema kunahaja ya kwenda kanisani?
 
Kanisa ni chaka la utapeli na upigaji wa pesa za wajinga wasiojitambua kwa kigezo cha fictional character mungu asiyekuwepo.
 
Ivi wewe jamaa huogopi? Kusema hivyo mungu yupo mimi naweza kukuprove kabisa
 
Back
Top Bottom