Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

The bottom line is: Never Fight With Your Government.
Kuna mengi magumashi kina manabii wanayo
Hapana ,yaani mtu asikemee maovu kisa ?

Na hakuna Ambae atakuwa tayari kukemea maovu km nyuma yake Kuna makandokando!

Swali,angekuwa shehe wangebomoa misikiti?
Unajua tunapoongea tuwe wakweli tu!
 
Hapana ,yaani mtu asikemee maovu kisa ?

Na hakuna Ambae atakuwa tayari kukemea maovu km nyuma yake Kuna makandokando!

Swali,angekuwa shehe wangebomoa misikiti?
Unajua tunapoongea tuwe wakweli tu!

Hata mimi sijui
 
Back
Top Bottom