Mkuu suala la kusema hukumwaga eti ndio usiweze kumpa mimba mwanamke si kweli, kuna asilimia kadhaa mbegu za kiume huwa zinatoka in between ya tendo hata kama haujamwaga bado
Ila ni kwa asilimia ndogo sana kuweza kusababisha mimba, maana mara nyingi huwa zinaishia kufia kwenye mazingira ya uke kabla kulifikia yai
Kingine kama ni kweli hamkufanyana mwezi wa saba, na mmekuja kufanyana mwezi wa 8 mwishoni means hiyo mimba ina miezi miwili tu, ambayo hiyo ultrasound iko correct kabisa haiwezi kudanganya
Ultrasound huwa inapima exactly umri wa mimba kama mimba ikiwa chini ya wiki 28 (miezi saba) so hakuna room ya kusema ultrasound imekosea, ila huwa inaleta majibu yasiyi ya kweli kama mimba imezidi wiki 28 na kuendelea
So msimamo wako uko sawa, maana alivyo mjinga alishindwa hata kujua kuwa kama akisema ni mwezi wa 5, ilibidi ajue calculations pia za umri wa mimba akijua na wewe ni tutusa hufahamu kitu
So simamia msimamo, na hiyo pesa ya kutoa mimba usitoe maana mimba ya kuezi mitatu kuitoa ni risk sana na inaweza kuondoka na mtu hapo
Kingine mimba ya miezi mitatu ni mtu kabisa kaishaumbwa kila kitu, washauri wasimuue bora hata ingekua ni week mbili au tatu hiyo inakua ni damu damu tu