Kanisingizia mimba, Nmeikataa, ananiomba pesa ya kuitoa

Kanisingizia mimba, Nmeikataa, ananiomba pesa ya kuitoa

Tunatarijia kupata mama mfiwa au single mother, sawa[emoji16]
Hivi inaingia akilini kweli mkuu?
Yaani ukutane na mwanamke mfanye afu usimwage kabisa na baadae aje akwambie eti ile mimba Ni yako? Ananijaribu au?
 
Bro mama J nae ukamtafutia mpango wa pembeni....hii mbwa kamla mbwa....Dogo anatafuta slope tu hapo hakuna kingine
 
sahii kabisa,
Anamficha mhusika,
Sijui lengo lake Nini hasa uyu mtoto
Kachanga karata zake,kaona upo vizuri financially,na hata unapoongea nae ashakufanyia analysis na kuona unafaa kabisa....Sema kuna kitu ulimficha i.e your inner instincts hakujua una misimamo yako aliona atakumudu na we ungekua mpole tu pindi ambapo angeleta hoja zake za kua na kibendi.....
 
Kachanga karata zake,kaona upo vizuri financially,na hata unapoongea nae ashakufanyia analysis na kuona unafaa kabisa....Sema kuna kitu ulimficha i.e your inner instincts hakujua una misimamo yako aliona atakumudu na we ungekua mpole tu pindi ambapo angeleta hoja zake za kua na kibendi.....
Na niishamstuka tangu mwanzo akinisisitiza tufulurize tunafanya.

Kumbe anatafta excuse ya kuhalalisha kibendi Cha watu wengine.

Na kweli,
Kama ningekua nmemwagia ndani
Ningekubali TU maana kukataa mimba na unajua Ni yako 100% Ni ushamba
 
Mkuu suala la kusema hukumwaga eti ndio usiweze kumpa mimba mwanamke si kweli, kuna asilimia kadhaa mbegu za kiume huwa zinatoka in between ya tendo hata kama haujamwaga bado

Ila ni kwa asilimia ndogo sana kuweza kusababisha mimba, maana mara nyingi huwa zinaishia kufia kwenye mazingira ya uke kabla kulifikia yai

Kingine kama ni kweli hamkufanyana mwezi wa saba, na mmekuja kufanyana mwezi wa 8 mwishoni means hiyo mimba ina miezi miwili tu, ambayo hiyo ultrasound iko correct kabisa haiwezi kudanganya

Ultrasound huwa inapima exactly umri wa mimba kama mimba ikiwa chini ya wiki 28 (miezi saba) so hakuna room ya kusema ultrasound imekosea, ila huwa inaleta majibu yasiyi ya kweli kama mimba imezidi wiki 28 na kuendelea

So msimamo wako uko sawa, maana alivyo mjinga alishindwa hata kujua kuwa kama akisema ni mwezi wa 5, ilibidi ajue calculations pia za umri wa mimba akijua na wewe ni tutusa hufahamu kitu

So simamia msimamo, na hiyo pesa ya kutoa mimba usitoe maana mimba ya kuezi mitatu kuitoa ni risk sana na inaweza kuondoka na mtu hapo

Kingine mimba ya miezi mitatu ni mtu kabisa kaishaumbwa kila kitu, washauri wasimuue bora hata ingekua ni week mbili au tatu hiyo inakua ni damu damu tu
 
Back
Top Bottom