Sistahili hicho, sema yeye ndiye mchovu (hana hela)Unapewa kile unachostahili
Sasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??Mwenyewe umeshamuita mchovu hiyo hela ya kukuzawadia hilo gari angeitowa wapi sa.
Ndo uwezo wake huo.Sasa ndiyo anizawadie asali??
Na ww ushawai kumzawadia nn kwenye barthday yake maana usipende kupokea2 na wakati ww mwenyewe siyo mtoajiSasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
Wapo wenye sura na shepu za kawaida ambao mm nawazidi mara 100 lkn wanapewa mizawadi mikubwa. Huyu mchovu tuWeka picha tuone hiyo Quality ya laki 3 na Gari
Mm mwanamke sijaumbwa kula kwa jashoNa ww ushawai kumzawadia nn kwenye barthday yake maana usipende kupokea2 na wakati ww mwenyewe siyo mtoaji
Kama ndio hvy hata ukipewa gari Bado utadai zaidi ya Hilo na kutaka mashindanoWapo wenye sura na shepu za kawaida ambao mm nawazidi mara 100 lkn wanapewa mizawadi mikubwa. Huyu mchovu tu
Nina mshepu Kajala anasubiriUkute hauna tako.
Kama ameshakula mzigo Haina shida , hata ukimpiga chini poa tuKuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Wewe jinsia yako ni ipi?Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?