Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
that is your price
 
Acha uchuro angalia usije lalamika baadae mbona huolewi. Ungejua maana ya hiyo asali wala usingesema chochote. Usiache kutoa updates za hao wengine utakavobadilisha
 
Sasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
Ina umuhimu gani hiyo siku. Ni siku tu kama nyingine.... Tena hapo naona kakupa zaidi ingebidi apunguze Ujazo
 
Ama kweli wewe ni SEXLESS..
 
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Mlamba asali hoyee
 
Wewe kwa nini huna hilo gari mpaka utake la kupewa?
 
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Wahuni wanamngoja [emoji23]
_ (18).jpg
 
Kwa kauli hizi karibia wanawake wote Saiv wanajiuza huku wakijificha kwenye kichaka cha kutafuta wanaume wenye pesa.

Haya Umalaya mwema
 
Back
Top Bottom