Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
that is your priceKuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Ina umuhimu gani hiyo siku. Ni siku tu kama nyingine.... Tena hapo naona kakupa zaidi ingebidi apunguze UjazoSasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
Kiiibo!๐คฃ๐คฃ๐คฃSasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
Mlamba asali hoyeeKuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Wewe kwa nini huna hilo gari mpaka utake la kupewa?Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Tatizo wanawake wengi tunashinda ku appreciate hata kidogo tunachopewa na wapenzi watu. Huu ni uzuzu, unataka upewe gari huku huwezi kuingiza hata 200k kwa mwezi.Lakini zawadi ni zawadi tu
SinaWewe unazo?
Ni jukumu la mwanaume kula kwa jasho (kutafuta). Sisi tunatafutiwaWewe kwa nini huna hilo gari mpaka utake la kupewa?
Wahuni wanamngoja [emoji23]Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50???
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Sikutaka gari Ila nilitaka zawadi inayofanana na ukubwa wa tukio lenyewweHuu ni uzuzu, unataka upewe gari huku huwezi kuingiza hata 200k kwa mwezi.
Yaan adaiwe kwa ajili ya zawadi, hao wajinga mnawapataga wapi?Sasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
Si ungejizawadia mwenyewe vinavyoendana na ukubwa wa tukio lako????Sikutaka gari Ila nilitaka zawadi inayofanana na ukubwa wa tukio lenyewwe
๐๐๐๐๐hajakimbia huyu??Baby nisamehe Sana๐๐, nilikuletea asali ili ufanye scrub maana unafanana na huyu๐๐๐ผ
View attachment 2480549
Huo siyo ujinga ndugu ni "lover care" kama ilivyo kwa "customer care".Yaan adaiwe kwa ajili ya zawadi, hao wajinga mnawapataga wapi?