Tuliosoma kozi "Cuba"Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Zawadi ili iitwe zawadi ni lazima itoke kwa mtu mwingineSi ungejizawadia mwenyewe vinavyoendana na ukubwa wa tukio lako????
Never on Earth. Alikuwa bado chini ya uangalizi na majaribio ya hapa na pale. Kafeli jaribio la birthdayKikubwa kakupiga mashine basi ndio muhimu.
Birthday ina ukubwa gani? Loh. Kila mwaka si ipo tuSikutaka gari Ila nilitaka zawadi inayofanana na ukubwa wa tukio lenyewwe
Wewe una niniSistahili hicho, sema yeye ndiye mchovu (hana hela)
ImeandikwaKuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
HapanaSasa wewe ndio wa hadhi hio kaa kwa kutulia
Unakuwa kwenye mahusiano ili upate zawadi kubwa ya birthday?Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
YamemkutaKuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Wewe ni dume halafu ni matt.A.kL3Sasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
Dume hilo ogopa matapeliDada Mbona una makasiriko Kama umekunywa maji ya chooniView attachment 2480546