Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Wewe Me /Ke?
 
Weka contact zako, nkutumie zawad unayostahil upunguze makasrko
 
Sasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
Yaaani akope laki 3 akupe wewe 😂😂😂 aise wewe umewahi kumpa hiyo laki 3😂🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
asali ni moja ya tiba ya nguvu za kiume. amekuna mchovu kitandani, amekusaidia hapo. utakuja kumkumbuka.
 
Sasa ndiyo anizawadie asali?? Siku muhimu Kama hiyo kashindwa hata kukopa laki 3 anipatie??
It loooks like your under 30 na bado hujaelewa life lenyewe na haumpendi huyo mtu

Life is not about money in everything
Uliemfanyia hivi leo what if unamkuta siku yeye ndie Hr manager ulipoomba kazi?

What if yeye ni mtu muhimu kukusaidia kwenye tatizo kubwa?

Life usimdharau mtu , narudia tena utakuja umbuka bure

Ushauri tu

Usichukulie personal
 
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
We ni mwehu
 
Narudia Tena ukiona umeshindwa kurudisha hiyo asali pamoja na elfu hamsini alizokugea huyo jamaa na Bado unaendelea kumbeza ujue wewe ni njaa Kali Hauna maajabu.Rudisha hizo zawadi kwanza alafu uje unijibu.
 
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
anataka uongeze nguvu za kike maana zimepungua kula asali mamaaa
 
Back
Top Bottom