Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?

Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).

Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?

Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Idiot
 
Sasa ulikuwa unakaa nae wanini wakati unaoweza kuhongwa magari kama wenzio? date na huyo wakukupa mamilioni ,usimsumbue mtoto wawatu anaejitafuta kwa jasho ,atapata atakaeenda nae safari ya polepole.

ukiwa na atakaekuzawadia mamilioni uje pia kutoa ushuhuda tukupe hongera
 
Back
Top Bottom