Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

Kubangaiza hakuna mwisho ukiona ndani yako unahitaji kuoa we oa.

Kuhusu umri age is nothing but a number .

Waarabu na wahindi huwa wanaoana wakiwa wanapishana umri tena Kwa mbali unakuta mke 36 mme 30

So if she , is right person ishi nae .
 
nmekuelewa bro japo mm sijawah kuwa playboy tangu nabalehe hadi leo
Sasa ndio uoe kama umempata mtu maplayboy nimetumia mfano kwamba kwao uzuri sio kitu bali wanaangalia tabia,ila kama unataka kumwacha sawa dunia ni yako chaguo ni lako na mimi sina cha kukushauri zaidi ya hiki nilicho kiandika.

Kupata mke mwema ni kazi sana hasa kwa dunia ya sasa.
 
ashakum si matusi lakn naomba tu mnielewe hvo mzee
Kwahiyo maza ndo pisi mbovu, mshua alikosea??

Uzuri wa mwanamke ni matunzo tu, hiyo pisi yako unaiona mbovu kwasababu ya shughuli zake.

Na mwanaume kwenye uzuri uzufi uko kidogo hatupo huko, saka kibunda kwanza mzee.
 
Kubangaiza hakuna mwisho ukiona ndani yako unahitaji kuoa we oa.

Kuhusu umri age is nothing but a number .

Waarabu na wahindi huwa wanaoana wakiwa wanapishana umri tena Kwa mbali unakuta mke 36 mme 30

So if she , is right person ishi nae .
asante mkuu
 
sawasawa bro
 
Sasa mwanawane kwa nini ujifu ge kwa mwanamke ngongozo wakati warembo wenye tako na titi wapo.
Piga chini huyo. Usionee huruma mwanamke. Kenge na mashetani hao
nomaaaa unawapopoa balaaaa
 
Kwahiyo maza ndo pisi mbovu, mshua alikosea??

Uzuri wa mwanamke ni matunzo tu, hiyo pisi yako unaiona mbovu kwasababu ya shughuli zake.

Na mwanaume kwenye uzuri uzufi uko kidogo hatupo huko, saka kibunda kwanza mzee.
sawa sawa mzee mtata a. k. a vishu mtataaaa😀
 
Ninakushauri Usimuoe kwa sababu utamsababishia huzuni huko mbeleni,wewe siyo husband material.Yaani wewe ni mtu flani hivi utakaye mchelewesha yeye kuendelea.unaonekana hujui unakokwenda
 
Tulia dogo.Mpe pesa yako aizoee.Usiwe fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…