Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

Huyo yuko kwenye umri wa presha ya kuchelewa kuolewa.

Amepata pa kujishikilia lazima atumie kila resource aliyonayo asipapoteze.
lakn hzo tabia ni asili yake, tangu alivokua kwenye miaka 24 wakati namfahamu ndo alivokua
 
Sasa unachewa nini kuoa mkuu?
kipato changu bado ni cha kubangaiza, siwez kutunza familia kwa sasa

afu sikua na mpango wa kuoa kwa sasa lakn yy kasema kama simuoi sasa bas tuachane
 
Hizo limbwa umerishwa ipo siku utazitapika na utafikr vizur πŸ˜…πŸ˜‚
 
Mwanamke yeyote anayetembeza bidhaa mtaani mwogope sana,sometime anakuwaga bidhaa yeye mwenyewe,wapo wengi wanaofanya hivyo na wameolewa na huwa tunawagegeda vibaya sana.
 
Miaka 29 UNAOGOPA ndoa

Muoe mkuu
 
Miaka 29 halafu reasoning ability yako ni kama mtoto wa miaka mitano .
 
Mwanamke yeyote anayetembeza bidhaa mtaani mwogope sana,sometime anakuwaga bidhaa yeye mwenyewe,wapo wengi wanaofanya hivyo na wameolewa na huwa tunawagegeda vibaya sana.
najua sana hyo,, hasa hawa wauza matunda, lakn huyu simdhanii kama analiwa
 
Yaani una umri mkubwa ila akili bado haijakomaa....."ananiogesha halafu siachi hata mia"....unaona sifa?
 
Wewe inaonesha kigezo chako ni sura na Bado huna mpango wa kuoa. Ila huyo nadhani atakufaa sana kwa maisha ya ndoa. Ni wewe ndio Bado Kuna tatizo una tamaa za fisi (samahani) yaani Bado mroho unafikiria siku ukikutana na mwenye sura nzuri.
 
Mbona naona Kama wewe ndio unampenda Sana, Alafu usi waamini wanawake Kama hao huaga ni waongo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…