Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Shabiki wa Uto umeonyesha umakini ushauri wako,uko vyedi💪💪Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Unaongea sana mpaka unaongea uongo.....Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Nimekuelewa kidogo ... Lkn mbona ka jamaa wanakichafua kiaina aseee. Long passes naona wanapiga sana tuuSimba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Kuna picha baada ya goli lake la pili alitabasamu kidogoKanute hata alivyofunga magoli makali ya kuua nyoka hakucheka wala kutabasamu, aliishia kuwapungia mikono mashabiki. Kweli huyu ni Putin
Uwe na kiasi. Timu inayopwaya viungo kama unavyosema inawezaje kufika robo fainali CAF champions? Wewe unataka viungo wanaotoka wapi? Sayari ya Mars au? Hao wa Yanga unaowasifia mbona hawakutoboa Championship? Tatizo siku hizi wameibuka makocha uchwara wengi kama wewe. Mapungufu unayoyaona ndio mpira wenyewe na zaidi ndio ubinadamu wenyewe.Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Kanute hata alivyofunga magoli makali ya kuua nyoka hakucheka wala kutabasamu, aliishia kuwapungia mikono mashabiki. Kweli huyu ni Putin
Huyo ana lake jambo ndugu. Timu inapeta mpaka robo fainali championship halafu mtu anatoka huko na kusema hakuna viungo. Sijui anataka viungo waliokuwa programmed kama robot?Nimekuelewa kidogo ... Lkn mbona ka jamaa wanakichafua kiaina aseee. Long passes naona wanapiga sana tuu
KWA VILE WAPO YANGA BASI YANGA ICHUKUE SHIRIKISHO.Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.
Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.
HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.
NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Hapa alitabasamu
Unaongea sana mpaka unaongea uongo.....
mechi ambazo Lwanga na Mkude wamecheza pamoja hazifiki hata 20.....
Lwanga amekuja wakati mkude ameshaisha na akafungiwa.
Ilikuwa ni Lwanga na Mzamiru pale kati....
Unaweza ukawa na hoja ila validity yake ikaondolewa na mifano unayotumia.
Ni kweli Simba inahitaji kiungo mwingine ( hata wao wanalijua hili) wa kiwango cha kimataifa, Number 6 ambaye yuko more defensively......
Bangala na Aucho? Hell No
Avarage players, wanaotembelea hype ya mashabiki wa Yanga ( Mashabiki wa Yanga wanajua kupamba vitu vya kawaida, wanavyomzungumzia Mzinze unaweza hisi ni Mbape)
Ntakuwa wa Mwisho kuamini Aucho na Bangala ni Viungo wa level tofauti.
KWA VILE WAPO YANGA BASI YANGA ICHUKUE SHIRIKISHO.
Nimekuelewa kidogo ... Lkn mbona ka jamaa wanakichafua kiaina aseee. Long passes naona wanapiga sana tuu
Mkuu ni vyema ulivyosema....Umejitahidi kujenga Hoja lakini umeishiankukosoa sanaaaa.
Bangala na Aucho ni Top top quality..
Mimi ni Simba lakini Hao Viungo nawaelewa mno.
Kanute hawezi kupiga pass 3 bila KUPOTEZA mpira.
Simba Ina UTAMADUNI wake wa mpira LUNYASI.
1. Sio mbaya kama itatafutwa pattern nzuri ya kuwatumia wote kiushambuliaji zaidi.1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes
Hilo swali sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shabiki wa Uto umeonyesha umakini ushauri wako,uko vyedi[emoji123][emoji123]
Ila sasa mkuu Aucho,Mayele,Bangala si wapo kwenye timu yako kwanini mlitolewa mkatupwa kwa maluza?