Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Wakurungwa wapenda soka namleta kwenu mwamba, chinja chinja Sadio Kanoute a.k.a PUTIN. Jina la Putin alipewa kutokana na soka lake la roho mbaya, hacheki wala kutabasamu hizi ni tabia za mwenye jina rais wa Russia Vladimir Putin.
Tangu ajiunge na Mnyama alikuwa mchezaji wa kadi, karibu kila mechi.
Kwa sasa kama sijakosea (mtanisahihisha) mechi na Horoya mechi ya 3 bila kadi. Je? Kocha Sambaloketo Robertinho amemrekebisha?
Binafsi nafurahishwa na soka lake hasa roho mbaya na tabia yake ya ukimya.