Kanoute PUTIN mechi tatu bila kadi

Kanoute PUTIN mechi tatu bila kadi

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
247
Reaction score
231
Wakurungwa wapenda soka namleta kwenu mwamba, chinja chinja Sadio Kanoute a.k.a PUTIN. Jina la Putin alipewa kutokana na soka lake la roho mbaya, hacheki wala kutabasamu hizi ni tabia za mwenye jina rais wa Russia Vladimir Putin.

Tangu ajiunge na Mnyama alikuwa mchezaji wa kadi, karibu kila mechi.
Kwa sasa kama sijakosea (mtanisahihisha) mechi na Horoya mechi ya 3 bila kadi. Je? Kocha Sambaloketo Robertinho amemrekebisha?

Binafsi nafurahishwa na soka lake hasa roho mbaya na tabia yake ya ukimya.
 
Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.

Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.

HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.

NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
 
Shabiki wa Uto umeonyesha umakini ushauri wako,uko vyedi💪💪

Ila sasa mkuu Aucho,Mayele,Bangala si wapo kwenye timu yako kwanini mlitolewa mkatupwa kwa maluza?
 
Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.

Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.

HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.

NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
Unaongea sana mpaka unaongea uongo.....
mechi ambazo Lwanga na Mkude wamecheza pamoja hazifiki hata 20.....
Lwanga amekuja wakati mkude ameshaisha na akafungiwa.
Ilikuwa ni Lwanga na Mzamiru pale kati....
Unaweza ukawa na hoja ila validity yake ikaondolewa na mifano unayotumia.

Ni kweli Simba inahitaji kiungo mwingine ( hata wao wanalijua hili) wa kiwango cha kimataifa, Number 6 ambaye yuko more defensively......

Bangala na Aucho? Hell No
Avarage players, wanaotembelea hype ya mashabiki wa Yanga ( Mashabiki wa Yanga wanajua kupamba vitu vya kawaida, wanavyomzungumzia Mzinze unaweza hisi ni Mbape)

Ntakuwa wa Mwisho kuamini Aucho na Bangala ni Viungo wa level tofauti.
 
Nimekuelewa kidogo ... Lkn mbona ka jamaa wanakichafua kiaina aseee. Long passes naona wanapiga sana tuu
 
Uwe na kiasi. Timu inayopwaya viungo kama unavyosema inawezaje kufika robo fainali CAF champions? Wewe unataka viungo wanaotoka wapi? Sayari ya Mars au? Hao wa Yanga unaowasifia mbona hawakutoboa Championship? Tatizo siku hizi wameibuka makocha uchwara wengi kama wewe. Mapungufu unayoyaona ndio mpira wenyewe na zaidi ndio ubinadamu wenyewe.
 
Kanute hata alivyofunga magoli makali ya kuua nyoka hakucheka wala kutabasamu, aliishia kuwapungia mikono mashabiki. Kweli huyu ni Putin

Screenshot_20230319-173745.jpg
 
Nimekuelewa kidogo ... Lkn mbona ka jamaa wanakichafua kiaina aseee. Long passes naona wanapiga sana tuu
Huyo ana lake jambo ndugu. Timu inapeta mpaka robo fainali championship halafu mtu anatoka huko na kusema hakuna viungo. Sijui anataka viungo waliokuwa programmed kama robot?
 
Simba Ina shida kubwa Mno kwenye Eneo la kiungo.
6 na 8.
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes.

Tulikuwa na Simba ya Biriyani kwa sababu ya Uwezo wa Lwanga na Mkude kwenye Passing long and short.

HII SIMBA INGEKUWA NA BANGALA AUCHO NA MAYELE INGECHUKUA UBINGWA CAF 2023.

NB.
UONGOZI UFIKIRIE KUPATA VIUNGO WAWILI 6,8.
Pia wasimsahau Pape NDIAYE.
KWA VILE WAPO YANGA BASI YANGA ICHUKUE SHIRIKISHO.
 
Unaongea sana mpaka unaongea uongo.....
mechi ambazo Lwanga na Mkude wamecheza pamoja hazifiki hata 20.....
Lwanga amekuja wakati mkude ameshaisha na akafungiwa.
Ilikuwa ni Lwanga na Mzamiru pale kati....
Unaweza ukawa na hoja ila validity yake ikaondolewa na mifano unayotumia.

Ni kweli Simba inahitaji kiungo mwingine ( hata wao wanalijua hili) wa kiwango cha kimataifa, Number 6 ambaye yuko more defensively......

Bangala na Aucho? Hell No
Avarage players, wanaotembelea hype ya mashabiki wa Yanga ( Mashabiki wa Yanga wanajua kupamba vitu vya kawaida, wanavyomzungumzia Mzinze unaweza hisi ni Mbape)

Ntakuwa wa Mwisho kuamini Aucho na Bangala ni Viungo wa level tofauti.

Umejitahidi kujenga Hoja lakini umeishiankukosoa sanaaaa.

Bangala na Aucho ni Top top quality..

Mimi ni Simba lakini Hao Viungo nawaelewa mno.

Kanute hawezi kupiga pass 3 bila KUPOTEZA mpira.

Simba Ina UTAMADUNI wake wa mpira LUNYASI.
 
Nimekuelewa kidogo ... Lkn mbona ka jamaa wanakichafua kiaina aseee. Long passes naona wanapiga sana tuu

Asante kwa kuelewa.

Ndio wanakichafua Hadi wanahama kwenye Jukumu lao mama la Ulinzi.

Wanawaweka MABEKI kwenye wakati mgumu mno.

Pale kati Kuna ombwe kubwa mno la beki na kiungo.

Ukijua hili ni Rahisi sana kuifunga Simba.

Inanga anaonekana wa KAWAIDA kwa sababu pressure Kila wakati kwenye goli la Simba.

Au one against one.
Kama mliona alivyokuwa akipambana na mshambuliaji NDIAYE

Wakiwa Off position ndipo utaona kanute anafanya Rafu zake za kijinga na kuambulia Kadi za Njano Kila gemu.

HUWEZI KUTA Bangala anakadi za njano kwa sababu anakuwa mda wote kwenye nafasi yake sahihi.
 
Umejitahidi kujenga Hoja lakini umeishiankukosoa sanaaaa.

Bangala na Aucho ni Top top quality..

Mimi ni Simba lakini Hao Viungo nawaelewa mno.

Kanute hawezi kupiga pass 3 bila KUPOTEZA mpira.

Simba Ina UTAMADUNI wake wa mpira LUNYASI.
Mkuu ni vyema ulivyosema....
"Unawaelewa"
Hata nikisema nini, hoja yangu haitoeleweka.
Lakini hao Bangala na Aucho kila wakikutana na kanoute huwa wanapoteana, huwa anawini Duels dhidi yao.
Ni wachezaji wa kawaida.
 
1: Kanute na Mzamiru ni No 8 wote wawili.
2: Kanute na Mzamiru wote ni Box to Box.
3. Kanute na Mzamiru wote HAWAJUI kupiga Pass
4: Kanute na Mzamiru ni wapotezaji WAKUBWA Wa Mipira.
5: wote hawawezi Dlibling.
6: wote hawawezi long passes
1. Sio mbaya kama itatafutwa pattern nzuri ya kuwatumia wote kiushambuliaji zaidi.
2. Kama wote ni 8 na ni B2B, kuna tatizo gani hapo? Labda iwe sielewi hiyo B2B ina maana gani.
3. Mechi ya Simba na Vipers, niliona pasi zilizofika, zilizidi pasi zote zilizopigwa na Ya ga kwenye mchezo wao na Mazembe nadhani, kama wanashida ya pasi na timu inapiga pasi 500+, pengine wakiboreshwa hawa, itakuwa hatari sana.
4. Hili ni tatizo ila nadhani Ntibanzonkinza ndo mpotezaji mkubwa wa mipira
5. Namba nane wakishindwa ku-dribo ni tatizo, lakini naona possession inakuwa juu kila mechi
6. Long passes inawezekana zinashindikana kwasababu timu kama timu haiwezi au haina counter attacks? Washumbuliaji wakati wanakuwa nyuma ya wings

Mayele ni aina ya mshambuliaji ambaye akipata nafasi 5 za wazi, anatumia moja pamoja na kujua kuji-position vizuri hivyo asingeisaidia Simba kihiiivyo.

Kweli akina Mkude, Thadeo na wafananao walihitajika sana, Mkude alileta uhai kwenye game na Vipers.

Kipimo cha Simba ni waarabu, Mamelody; ndio level anayotakiwa kuwa, kujifananisha....sio timu za confederations na ligi ya mchongo.
 
Back
Top Bottom