Kansa stage 4 kufika

Kansa stage 4 kufika

Dah I see hakuna aliyewahi kupona stage hiyo
Mkuu anapona vizuri tu ..ingia YouTube andika amsha afya media uone ushuhuda wa mama mwalimu mstaafu alikua na kansa ya kizazi stage 4 alitibiwa Hadi India kwa mionzi..ila amekuja kupona kwa tiba lishe Hadi wadaktar wa bongo na India wakashangaa maana walimwambia kwa stage hiyo ye niwakusubiria kifo...ila miaka Saba baadae mama huyo kaja fariku wa matatizo mengine kabisa ila sio kansa
 
Cancer haijawahi kutibiwa na maombi, maombi ni hatuza za watu wasiopenda kutumia akili/ waliokataa tamaa na maisha.

Stages za cancer zinaVary kila mwaka kutokana na ukubwa wa tumor na jinsi ilivoenea katika mwili
Kama ipo kwenye kizazi Dr anaweza kushauri a ampute kizazi (binadamu huishi bila kizazi)
Pia Dr anaweza kutoa kati ya hizi option
1. Chemotherapy
2. Radiation therapy
3. Hormonal Therapy
4. Immunotherapy
5. Stem cell transplant

Cancer Stage 4 sio mwisho wa maisha, hayo maombi hayatakusaidia chochote, specialist ndio wenye uwezo wa kutoa result ya kipi kifanyike.
🙏🙏
 
Mkuu anapona vizuri tu ..ingia YouTube andika amsha afya media uone ushuhuda wa mama mwalimu mstaafu alikua na kansa ya kizazi stage 4 alitibiwa Hadi India kwa mionzi..ila amekuja kupona kwa tiba lishe Hadi wadaktar wa bongo na India wakashangaa maana walimwambia kwa stage hiyo ye niwakusubiria kifo...ila miaka Saba baadae mama huyo kaja fariku wa matatizo mengine kabisa ila sio kansa
Hao wanapangwa I see,herbalists wengi sana halafu dawa zinaanzia laki 3
 
Pole kwa kumpoteza mama.. cancer bwana labda stage ya mwanzo ila hizi stages za mwisho wengi hufa na wengi huliwa pesa zao na hawa wanaosema wanaponya kwa mitishamba.
 
Balaa ukiwauliza shuhuda hawasemi unakuta mgonjwa kaishapoteza nguvu ya kupiga Chemo
 
Stage hiyo hakuna dawa inayosikia.
Just only two ways.
1. Kusubiri kifo
2. Yesu amponye . Hii ya Yesu kumponya ni simple ila kwa maombi ya watumishi matapeli haiwezekani
kabisa maana siku izi manabii wa uongo ni wengi Yesu Kristo Mnazareth huyu aliyekufa siku ya tatu akafufuka ndo atamponya maana alimfufua Lazaro aliyekaa kaburini siku 4 na pia yule mama mwenye kutokwa na damu alimponya ivyo Yesu huyu anaweza kumponya kensa ya kizazi kwake yote yanawezekana
 
Wadau Habari zenu
Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
Kansa ya stage 4 haiwezi kutibika hospitali nione mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mama yako aweze kupona kwa dawa zangu za asili. Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kumtibia mamayako na akawezakupona utamkosa mam yako uguw apole.
 
Mkuu poleni sana kwa changamoto. Mara nyingi saratani ikifika hatua ya 4 uwezekano wa kurudi to normal katika mfumo wetu wa afya ni mdogo sana. Mara nyingi wagonjwa walio stage hii huwa wanapewa palliative care huku wakisubiri kupumzika. Poleni tena na Mungu asimame nanyi katika kipindi hiki kigumu.​
 
Kansa ya stage 4 haiwezi kutibika hospitali nione mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mama yako aweze kupona kwa dawa zangu za asili. Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kumtibia mamayako na akawezakupona utamkosa mam yako uguw apole.

Kansa ya stage 4 haiwezi kutibika hospitali nione mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mama yako aweze kupona kwa dawa zangu za asili. Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kumtibia mamayako na akawezakupona utamkosa mam yako uguw apole.
Kashafariki mkuu dawa ulikuwa unauzaje njoo inbox
 
Wadau Habari zenu
Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
Kwa stage aliyofikia kupona haiwezekani, kuwa karibu na Mama yako, mpeni faraja, na mfanyieni yale yote yatakayompendeza, huku akisubiri siku yake kufika. Ukweli ni mgumu ila mwenyezi Mungu ampe ujasiri wa kuendelea kupambana.
 
Amesema kuwa tayari mgonjwa ameshatwaliwa
 
Back
Top Bottom