Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Oooh poleni kaka sanaKitunda Tumaini nursery
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh poleni kaka sanaKitunda Tumaini nursery
Kwa kienyejiWadau Habari zenu
Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
Mkuu anapona vizuri tu ..ingia YouTube andika amsha afya media uone ushuhuda wa mama mwalimu mstaafu alikua na kansa ya kizazi stage 4 alitibiwa Hadi India kwa mionzi..ila amekuja kupona kwa tiba lishe Hadi wadaktar wa bongo na India wakashangaa maana walimwambia kwa stage hiyo ye niwakusubiria kifo...ila miaka Saba baadae mama huyo kaja fariku wa matatizo mengine kabisa ila sio kansaDah I see hakuna aliyewahi kupona stage hiyo
Pole mkuuAhsante wote kwa ushauri dah nasikitika Mgonjwa wangu Amefariki
🙏🙏Cancer haijawahi kutibiwa na maombi, maombi ni hatuza za watu wasiopenda kutumia akili/ waliokataa tamaa na maisha.
Stages za cancer zinaVary kila mwaka kutokana na ukubwa wa tumor na jinsi ilivoenea katika mwili
Kama ipo kwenye kizazi Dr anaweza kushauri a ampute kizazi (binadamu huishi bila kizazi)
Pia Dr anaweza kutoa kati ya hizi option
1. Chemotherapy
2. Radiation therapy
3. Hormonal Therapy
4. Immunotherapy
5. Stem cell transplant
Cancer Stage 4 sio mwisho wa maisha, hayo maombi hayatakusaidia chochote, specialist ndio wenye uwezo wa kutoa result ya kipi kifanyike.
Pole sana mkuuAhsante wote kwa ushauri dah nasikitika Mgonjwa wangu Amefariki
Hao wanapangwa I see,herbalists wengi sana halafu dawa zinaanzia laki 3Mkuu anapona vizuri tu ..ingia YouTube andika amsha afya media uone ushuhuda wa mama mwalimu mstaafu alikua na kansa ya kizazi stage 4 alitibiwa Hadi India kwa mionzi..ila amekuja kupona kwa tiba lishe Hadi wadaktar wa bongo na India wakashangaa maana walimwambia kwa stage hiyo ye niwakusubiria kifo...ila miaka Saba baadae mama huyo kaja fariku wa matatizo mengine kabisa ila sio kansa
Balaa ukiwauliza shuhuda hawasemi unakuta mgonjwa kaishapoteza nguvu ya kupiga ChemoPole kwa kumpoteza mama.. cancer bwana labda stage ya mwanzo ila hizi stages za mwisho wengi hufa na wengi huliwa pesa zao na hawa wanaosema wanaponya kwa mitishamba.
kabisa maana siku izi manabii wa uongo ni wengi Yesu Kristo Mnazareth huyu aliyekufa siku ya tatu akafufuka ndo atamponya maana alimfufua Lazaro aliyekaa kaburini siku 4 na pia yule mama mwenye kutokwa na damu alimponya ivyo Yesu huyu anaweza kumponya kensa ya kizazi kwake yote yanawezekanaStage hiyo hakuna dawa inayosikia.
Just only two ways.
1. Kusubiri kifo
2. Yesu amponye . Hii ya Yesu kumponya ni simple ila kwa maombi ya watumishi matapeli haiwezekani
Pole sana mkuuAhsante wote kwa ushauri dah nasikitika Mgonjwa wangu Amefariki
Kansa ya stage 4 haiwezi kutibika hospitali nione mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mama yako aweze kupona kwa dawa zangu za asili. Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kumtibia mamayako na akawezakupona utamkosa mam yako uguw apole.Wadau Habari zenu
Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
Wadau Habari zenu
Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
Kansa ya stage 4 haiwezi kutibika hospitali nione mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mama yako aweze kupona kwa dawa zangu za asili. Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kumtibia mamayako na akawezakupona utamkosa mam yako uguw apole.
Kashafariki mkuu dawa ulikuwa unauzaje njoo inboxKansa ya stage 4 haiwezi kutibika hospitali nione mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mama yako aweze kupona kwa dawa zangu za asili. Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kumtibia mamayako na akawezakupona utamkosa mam yako uguw apole.
Kwa stage aliyofikia kupona haiwezekani, kuwa karibu na Mama yako, mpeni faraja, na mfanyieni yale yote yatakayompendeza, huku akisubiri siku yake kufika. Ukweli ni mgumu ila mwenyezi Mungu ampe ujasiri wa kuendelea kupambana.Wadau Habari zenu
Mama yangu anasumbuliwa na kansa ya kizazi imefika stage 4 hivi hii stage kuna wagonjwa wamewahi survival
Amesema kuwa tayari mgonjwa ameshatwaliwaKwa stage aliyofikia kupona haiwezekani, kuwa karibu na Mama yako, mpeni faraja, na mfanyieni yale yote yatakayompendeza, huku akisubiri siku yake kufika. Ukweli ni mgumu ila mwenyezi Mungu ampe ujasiri wa kuendelea kupambana.
Pole sana mkuu, Mungu awape farajaBalaa ukiwauliza shuhuda hawasemi unakuta mgonjwa kaishapoteza nguvu ya kupiga Chemo
AhsantePole sana mkuu, Mungu awape faraja
Pole sana bro. May her soul rest in peace.Ahsante wote kwa ushauri dah nasikitika Mgonjwa wangu Amefariki