Mbona una kauli za maudhi namna hiyo?CHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.
Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?
Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.
MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.
PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.
Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Mfano msaada wa mungu kwenye hili ni upi? Amepunguza maumivu? Ameleta dawa?Nikupe pole sana kwa kuuguliwa na mkeo... ila ningependa tu kuweka kitu kimoja sawa...
Kwanza kabisa kwa wewe kusema "najua yote ni mipango ya Mungu" Kiukweli si kila jambo ni lakusema mipango ya Mungu sidhani kama Mungu anaroho mbaya kiasi hicho cha kumfanya mkeo ateseke na kupitia magumu na uchungu kiasi hicho...
Watu wengi tumezoea kusema mipango ya Mungu na kujikuta kumsingizia Mungu vitu ambavyo hahusiki na kusahau kua shetani yupo pia na yeye mwenyewe ndio mshitaki wetu na asiependa kuona mtu anaongezeka, kufurahi,kufanikiwa n.k
Ningependa kunukuu tu maneno haya kutoka kitabu cha..
Yohana 10
10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
Hivyo kwa kusoma tu hapa nadhani utaona kazi ya adui (Shetani/mwivi) kazi zake hapo na kazi ya Mungu.
Nimeandika tu huenda nikawa nje ya mada ila niseme tu....
Mungu ajawai kushindwa... pale fikra zako zinapoishia na kuona hakuna matumaini tena, ndipo Mungu anapoanzia.
Akili za mwanadamu zina mwisho ila yeye hana mipaka wala ukomo, Mtafute Mungu namaanisha Mungu wa kweli bila kuangalia dini yako wala nini
Mtafute mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki sumbe Youtube fatilia mafundisho yake na uchukue hatua ya kufika ibadani, Hakika utamwona Mungu akimfungua mkeo. Akuna lililo gumu kwa Mungu.
Mungu akutie nguvu na ujasiri na roho ya kukata tamaa isipate nafasi, Zidi kumwomba Mungu kutie nguvu wewe pamoja na mkeo mzidi kumwamini yeye na kumtumainia yeye.
Barikiwa Kiongozi.
Upo sahihi mkuu.Mimea inatibu kila aina ya ugonjwa.Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
nipe namba yako Pm kuna madawa kadhaa home made nitaongea na mama yangu mzazi anajua ili akuelekeze utengeneze utumieYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Mtumishi wa kweli wa Mungu unayemjua wewe ni yupi?Mkuu tafuta mtumishi wa kweli wa Mungu aweze kuombea hilo tatizo.Yasio wezekana kwa Mwanadamu Kwa Mungu yanawezekana bado ana nafasi ya kuishi.
Tuingie kwenye imani maana tumeshuhudia watu wakipona magonjwa makubwa na kama hayo na yale sio mazingaombwe.
Kwa situation aliyopo anatafuta msaada... Usitumie maneno makali jiviPole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Sijaandika kuruhusu mdahalo wa mabishano... Nimetoa ushauri kwa mleta mada.Alafu nikukumbushe tu ukiwa unataka kubishana na mtu jaribu kuelewa kwanza alichoandika. Hakuna mahali nime mwongelea... "mungu" bali nime mwongelea "Mungu". Hivyo kama unatafuta wa kubishana nao kawatafutie huko na sio kwangu.Mfano msaada wa mungu kwenye hili ni upi? Amepunguza maumivu? Ameleta dawa?
Nitashukuru sana [emoji120][emoji120]Nimeshindwa jinsi ya kuipata hiyo link, kesho nitaomba msaada kwa mtu then nitakutumia usijali!
Pole MkuuYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Pole Man!
Nimeumizwa sana na Hilo!
Hebu ajaribu urine therapy,ule wa asubuhi na mapema anywe tu was kwake mwenyewe!
Nimeongozwa na mithali 5:15 ,sio tiba ngeni hata mababu,wachina na wahindi hasta king Solomon alitumia!!
Hivyo TU!!
Cancer is a condition/disease characterized by abnormal uncontrolled cell growth in the body. Most cancer related deaths are due to metastasis, malignant cells penetrates through circulatory system and establish colonies/tumor in other parts of the body. If abnormal cells grow in a limited area, are called benign tumors, if abnormal cells spread to other parts of the body, they constitute a malignant tumor one that is cancerous.
For so many years now we hear from media broadcasting that cancer cure is still unknown. Richard Nixon announced the war against cancer in 1971,38 years later,Obama again announced the war against cancer in 2009, and all ended in vain.Sloan Kettering has been involving itself in the search for cancer cure since 1884, at least one century has passed without any flash of light that we are even approaching to the cure for cancer.WHY?
In order to know the real reason one must know the history about different suppressed cancer cures at least from 1920's.
There are so far many causes of cancer. In-fact it is easy to say that cancer is due to weak body immunity plus external toxic agents entering in the body. Weak body immunity can be caused due to lack of essential nutrients in the body while external agents can include toxins/environmental toxins and free radicals.
Our bodies reverse different types of cancers everyday in our lives without our knowledge due to strong immune system. Those with weak immune systems will find out this battle in the hospitals. So the basic and important thing in our life to fight cancers is immunity. The next important thing is to avoid environmental toxins and free radical sources such as processed foods.
Is there cure for cancer?
Yes, contrary to what you have been told by the mainstream, there are so many different cures for cancer. But it is not easy for you to know them since you will never hear about these cures from the mainstream media.
If there is cure for cancer then, why people don't know about it/ them?
As explained above, cancer is a very big business just like HIV/AIDS. The pharmaceutical industries receive trillions of dollars per year on selling drugs and related cancer treatments, so they can't let you know about the very cheap cures that can not cost you much. There are many cancer cures around you that you have never been told because pharmaceutical industries can not patent them and make money.
Why the mainstream cancer treatments rarely cure cancer?
To answer this question,we must know that,the definition of cancer for mainstream/ allopathic doctors is very different from that of naturopathic doctors.Therefore,these two treatments are based on their definition of cancer. For allopathic/mainstream doctors,cancer is a tumor/lump of malignant abnormal cells.So what they do is to concentrate on the ways of removing away the tumors/malignant cancer cells from the body.
There are mainly 3 ways of doing that which are:
i/. To poison the cancer cells by using chemotherapy,
ii/. To burn the cancer cells by using radiations/mionzi,
iii/. To cut away the tumors if possible by surgery.
Among the three ways only one is safe to a patient, and that is surgery. When I say safe I don't mean it heals the patient,no,but I mean it can not cause new cancer to a patient. The remaining two methods above,all can cause new cancer to a patient, that means the kill previous cancer cells and cause new cancer cells.That is why many times people seem to be well after treatment,but sometimes later the cancer returns which is more fatal than before.
Allopathic treatment have very very low success in healing even stage I cancers.That is why up to now we are told there is no known cure for cancer.Its is because they don't deal with cancer but rather they deal with the symptoms of cancer.Tumor/lump/malignant cells are just symptoms of cancer.
For naturopathic doctors, tumor/lump/malignant cells are just symptoms of cancer. So what naturopathic doctors do is deal with the real cause of tumors/malignant cells.When they are done, the symptons disappear by themselves or sometimes they use some herbs to absorb the tumor. But their main focus is on the real cause of cancer cells. That is why the success rate of curing cancer for naturopathic doctors is very very high and you can't compare it with the mainstream/allopathic doctors.
If there are cure(s) for cancer, then what are they?
The following list can cure cancer cancer if used as recommended according to the research conducted;
1. Alkaline diet - vegetables/fruits - lemon water every day
2. Apple Cider Vinegar (Braggs)
3. Baking Soda/blackstrap molasses/maple syrup
4. IV Vitamin C
5. Vit D preferably from the sun
6. Oxygen/Ozone therapy
7. Hydrogen Peroxide (food grade)
8. Colloidal Silver
9. Organic Sulfur (activates Glutathione, the most powerful antioxidant in the body)
10. Selenium
11. Essiac teas
12. Cannabis oil
13. Crushed Garlic (let it sit for 15 mins then consume)
14. Chlorella/Spirulina/Wheatgrass juicing/supplementation
15. Turmeric (spice) - taken with something fatty like yogurt, or even with black pepper to help increase its potency.
16. Vit B17 - Apricot Kernels/apple seeds.
17. Black salve for skin cancer
18. Oleander Soup
19.fatty type food + Flaxseed oil (Budwig Protocol)
20. Shark cartilage-read the book "WHY SHARKS DON'T GET CANCER"
21. Black seeds oil
And there are still more not mentioned
nimecopy kama ilivyo
Unaweza kumtajia hizo dawa?Nina mgonjwa wa cancer anatumia mitishamba baada ya hospital kuambiwa afanyiwe chemotherapy, tunashukuru MUNGU anaendelea vizuri Sana,,
Hizo dawa alizokunywa Hadi sasa zimeleta usalama was afya take kwa kiasi Gani!!?Mgonjwa anaumwa, anakunywa dawa na kupatiwa matibabu. Mgonjwa ana Cancer.
Hii Urine therapy imeekaaje?
Unamshauri mgonjwa wa cancer anywe mkojo wake?
Huo mkojo utakuwa salama?
Pole sana mkuu na Mungu amsaidie mkeo apate kupona kwa miujiza yakeYapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.