Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Ahsante sana kaka
 
Ahsante sana kaka.
 
Pole sana
 
Hilo neno la kusema yote mipango ya Mungu ndipo mnampa Ibilisi ruhusa ya kuwapiga zaidi.
Yaani mipango ya Mungu mwanadamu ateseke?
Hiyo ni mipango ya Ibilisi.
 
Katika MAISHA changamoto huwa zipo Ila katikati ya Giza hakikisha wewe unasimama UPANDE wa nuru.

Ur wife she there don't forget to show her the hope all the time.

Having the morning and night rituals as well give to hear self-healing that the remedies will lead her into relief.

Tunakufatilia na tupo na wewe upo mkoa gani kaka?
 
Ukitaka kujua uzito wa dunia basi vaa viatu vya huyu mleta mada,

Nikupongeze kwa kutomkimbia mkeo kwa dunia ya leo unahitaji tuzo ya kipekee, kuna wanaume humu huwa wanadhihaki nyonyo ndala sasa wako amekatwa na bado unamthamini hivi,

Niliwahi kuona mkaka jirani na nilipokuwa alikuwa na kansa ya koo😭 mwaka juzi, amefariki mwaka jana, yule kaka alikuwa anatoa machozi ya damu yani maji ya machoni ilikuwa ni damu, kwa macho yangu nilikuwa naogopa hata kumtizama, inatisha nyie, tujidao tu ila ukiona u mzima unatembea unaringa ni kwa neema tu, kiukweli sijawahi ku experience hii kitu kusema nina msaada ila majani ya mstafeli kama walivyoandika wadau wengine nasikia yanasaidia kuna kipindi nilikuwa namtengenezea mzee home (kumkinga na tezi dume)tena ngoja nimkumbushe,

Msalimie mgonjwa na pole kwa kuuguza Mungu awatie faraja na kuwafanyia wepesi katika nyakati hizi ngumu
 
Pole mkuu.. mimi nimeuguza baba kwa saratani ya titi nashukuru Mungu yupo poa anaendelea na shughuli zake kama kawaida mwaka wa saba huu. Sisi tulizingatia na tunazingatia matibabu ya hospital kwa asilimia 100. Alianza na upasuaji ikaja chemo kisha mionzi. Saivi huwa anaudhuria clinic na kunywa dawa wanazopewa. Ushauri wangu achana na tiba mbadala ndo zilizo/zinazommaliza mkeo. Afate masharti ya vyakula na vinywaji yanayotolewa kwa wagonjwa wa saratani. Atumie dawa za hospitali pekee kwa matokeo mazuri
 
Aanze sasa hivi kutumia dawa zifuatazo, ingawa kachelewa kidogo kwa jinsi ulivyoelezea, sbb cancer ina stages, ukiwahi mapema hospital, unapona kabisa, ila Mungu yupo, do this ASAP

1: Habbat Soda or Black seed Oil, zipo nyingi Kkoo, dose walau kijiko kimoja cha chakula asubuhi na moja jioni kwa hali aliyonayo:

Chupa ndogo inauzwa tshs 10,000 nunua hata chupa 10 ziweke ndani, ina harufu kidogo ila atumie.

2: Tumia haya majani ya mstafeli haraka sana alafu uje ulete majibu humu


View: https://youtu.be/Sz7UO8khRTA?si=NnCeARoMnJwmp2aP

View: https://youtu.be/wxvAFdwp7rw?si=EWKLZfnVHR33uaql
Majani ya Mstafeli saga na kunywa juice yake ikiwa mbichi, aweke maji tu, kila siku kikombe kimoja asubuhi na jioni, hii wanasema ina uwezo mara 10,000 zaidi kutibu cancer aina yoyote kuliko Chemo… Narudia wanasema ina uwezo mara elfu 10 ( 10,000) kutibu cancer yoyote kuliko Chemo.. Pia fuatilia online kuna vyakula ukiwa na cancer hatakiwi kula kabisa.

Pole sana na Mungu Baba wa Mbinguni amponye haraka mke wako.
 
Mpeleke kw Mwamposa kawa
 

Pole tena ndugu yangu, kuna uzi aliposti hapa member mmoja kwa shida kama huo, kuna hio comment embu ona kama inaweza kukusaidia
 
 
Habari, pole sana kaka kuna mama yupo Dar es salaam Kariakoo naomba uwasiliane nae kisha kama ata kwambia uende au vipi, endapo akisema muonane basis beba vipimo vyote mlivyo Pima hospital. Naamini mwenyezi mungu ata msaidia mke wako ukisha anza tiba kwa huyo mama. 0754418972
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…