Mkuu kama unaifahamu hiyo tiba ya mmea ebu msaidie kwanza , hii elimu tutaleteana baadaye akishapona, okoa jahazi mkuuHuwezi kupona kwa KUBUGIA BUGIA TU madawa au TIBA, lazima akili yako isafishwe kwanza.
Kuna mtu yeye anaamini akimeza MADONGE YENYE KEMIKALI anapona, unaona huyu ni CHIZI. Anahitaji msaada wa kiakili kwanza.
Mwingine anaamini kwamba MIMEA ni UCHAWI, huyu ni mpuuzi na goigoi tu wa kawaida, unamchangamsha kwa NAKOZI mbili tatu anazinduka kisha UNAMPA TIBA.
AHAKIKISHE ANAPATA HILO TUNDA KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI HATA KWA KUNUNUA KWA MUDA USIOPUNGUA MIEZI MI3.Pole sana mkuu
Chukua huu ishauri utanishukuru
Chukua majana ya stafeli changanya na maji masafi lita5 na majani yajae ndoo ndogo ya lita 10. Maji yachemshe hadi yawe ya moto then chukua hayo maji nusu lita saga na majani yamejaa chupa ya blender hadi majani na maji yaishe. Yaache yapoe mdogo mdogo masaa 12. Xhuja them mgonjwa yawe ndo maji yake ya kunywa. Unaweza kuongeza limao kuweka ladha na kamwe usiongeze kitu kingine ila kama ladha itakushinda basi ongeza tunda lenyewe ondoa tu mbegu blend ba maganda yake
Tumia hadi utakapopata nafuu
Aisee, weka link Mkuu.Deception kuna Uzi aliwahi kutoa kuhusiana na tiba ya kansa
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Mi ni member mpya sijajua namna ya kuweka link ila Uzi unaitwa hidden cancer cures wa deceptionAisee, weka link Mkuu.
[✓]
Ahsante sanaAHAKIKISHE ANAPATA HILO TUNDA KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI HATA KWA KUNUNUA KWA MUDA USIOPUNGUA MIEZI MI3.
YAANI STAFELI IWE KIFUNGUA NA KIFUNGA KINYWA CHAKE PIA.
Hakuna hasara ataipata wala madhara kwa sababu hilo ni tunda pia.
🙏🏿🙏🏿Endapo hatopona utamlipa fidia ya kumpotezea muda kwenye hayo matibabu yako? Tuacheni masikhara au kuleta biashara kwenye afya za watu, wewe ungekuwa na uwezo huo wa kutibu Cancer wala usingekuwa na muda wa kushinda humu jamvini kuwinda watu wa kuwatibu, watu wangekufuata wenyewe na usingekuwa na muda kabisa maana hata wateja wangekuzidia, pengine hata serikali ingekuwezesha ili uweze kusaidia wengi.
Acheni janjajanja yenu kwenye matatizo ya watu tafadhali.
knywa mkojo wa asbh kabla ya kula kituUrine therapy ni nini mkuu?
Sasa wewe,hapo kweli si muuaji? Acid ya mkojo,then unywe? Hilo ini litakaa siku ngapi?knywa mkojo wa asbh kabla ya kula kitu
kwani mimi ndo nimeshauri au wewe umeuliza uribe therapy?muuaji mwenyeweSasa wewe,hapo kweli si muuaji? Acid ya mkojo,then unywe? Hilo ini litakaa siku ngapi?
Kwa upande wangu mtafute Prophet S. S ROLINGA wa Omega Ministries Church Of All Nations.Sawa kama
Mkuu unamshaurije anywe kitu ambacho mwili wenyewe umekitoa kama uchafu(taka mwili) ?Urea from a mammal haijawahi kuwa toxic kama ammonia!!
Hizo medicine from hospital are More toxic than own urea plus water!!
Inategemeana naweza mimi nikawa naamini mtumishi fulani lakini wewe ukaona huyo sio! Ni maswala tu ya kiimani.Mtumishi wa kweli wa Mungu unayemjua wewe ni yupi?